Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hahaha ulimuona alivyozubaa El Choro aliesema hapendi hand shake aaafu akapigwa 2 safiiiii yaaani sijui alijiamini anakuja kushinda Anfield yaaani baada ya gemu alisimama pale hana cha kufanya mbali kutoa macho kama fundi saa huku ubao ukisoma Liverpool 2 Atletico Madrid 0...

YNWA

Yaani ashinde nyumbani kwetu!
Ana wazimu huyo.

Kwa kweli kikosi chetu kinafanya vizuri Mno hadi nafurahiii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Game ilivyoisha tu Klop akaingia uwanjani kusabahi wachezaji akampotezea Diego, nadhani alilipiza kisasi
 
Mkuu mbona hujayesema hayo yote weekend iliyopita Baada ya mechi dhidi ya Brighton?

Mkuu tatizo la timu yetu kwa sasa ni kiungo pale kati,pale kati wakiwa Henderson na Fabinho ,mtu wa tatu hapo weka mtu yoyote yule hata wewe ingia hapo lazima tupate ushindi tu ushindi goli tunaanza 2 ,ikiwa hivyo hapo huwezi kulaumu beki wala kulaumu kipa,ndio kilichotokea kwa jana.

Mechi na Brighton tulicheza hovyo sana mido walikuwa ox,Jones na Henderson sasa kwa mido hiyo hapo mkabaji ni Henderson tu hao wengine ni mabingwa wa kupoteza mipira.

Kwa namna tulivyocheza jana kwa yule ambae hajaangalia mpira kwa sasa hakuna timu ya kuifunga

LIVERPOOL, ligi ambazo watakuwa wanapangwa hao watu Henderson na Fabinho natangaza rasmi liverpool tunabeba Epl na ucl msimu wa 2021/2022

Me nimeanza rasmi jana kuanza maandalizi ya kushangilia ubingwa wa ucl na Epl msimu huu wa 2021/2022.

Kwa namna timu zingine navyoziangaliaga zinavyocheza hakuna timu ya kumsumbua Liverpool kwa sasa,na ndio maana mpaka saizi hakuna timu uliyoweza kuchukua point tatu kwa Liverpool.

Mkuu sio legend mmoja wengi watakula hizo goli 5.

Mkuu nashukuru kwakuliona hilo Jana kama mimi .kama na wewe uliliona hilo inaonesha pia kuna ukweli ndani yake,hakuna timu ya kumsumbua Liverpool kwa sasa.

kuna muda nikawa nawaza timu nyingine ya kutusumbua ni ipi ? sijaona kwa sasa ulaya kwa huwezo ule na tuko siriaz sana Na ubingwa msimu huu.

Kwa sasa ucl hapo nani sijui atataka kukutana na sisi? Maana sasa hivi dozi yetu ya magoli tunaanza kuesabia goli 2 nakuendelea kila mechi mashindano yote.
Vizuri sana kwa kuliona hilo mkuu na kuhusu mechi na Briton kweli kabisa sikusema ila haimaanishi kwamba nilipenda hapana mkuu

Kuhusu ile mechi sisi ndio tulicheza vibaya mno ila tupo vizuri kila mahali na imani tutafanya makubwa mwaka huu wa mashindano haya
 
Game ilivyoisha tu Klop akaingia uwanjani kusabahi wachezaji akampotezea Diego, nadhani alilipiza kisasi
😂😂😂😂😂😂😂Klopp anazarau sanaaa ajabu sasa aliwapa hug mpaka wachezaji wa El Choro huku Choro akiwa ameduwaa hahaha...

Atakua na heshima na majogoo sasa amepigwa nje ndani kuroho safi atulie..

YNWA
 
Yaani ashinde nyumbani kwetu!
Ana wazimu huyo.

Kwa kweli kikosi chetu kinafanya vizuri Mno hadi nafurahiii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Liverpool wakicheza kama unit basi hakika hakuna wa kutuzima kabisa yaaani ni ushindi tu na juzi tulicheza kama unit huku TAA akiwa fire sana kwenye ma assist...

Moja ya eneo la kuboresha ili tuodokane na hizi sare za mara kwa mara ni ku retain mpira na kupanua uwanja kadri tuwezavyo huku pass accuracy ikiwa top class hapo wakufanikisha hilo amini ubingwa wa EPL na UCL unatua jiji la Majogoo Mei 2022.

Pamoja na yote combination ya CB iwe Matip na VVD hawa watatuvusha salama.

YNWA
 
Dogo Kostas japo hana mbio kama Robbo lakini ni understudy wa ukweli sana...
If am not mistaken hatujapoteza hata mechi moja huyu dogo akicheza LB...

YNWA

Kweli kabisa mkuu hatujapoteza.

Nilichokiona kwa wachezaji wengi tatizo liko kwenye kujiamini. Mchezaji akijiamini tu.lazima afanye vizuri,na hapo ndio inakuwa mtihani.

Huyo dogo anajiamini sana haogopi mtu ,mtu yoyote anamuongelesha sio minamino mpaka aongeleshwe muda wote yupo kimya ajiamini Kabisa.

Klopp amekuwa muwazi asije akaalibu mambo robbo ,maana tunapenda sana kulinganisha hata kama hawafanani.
 
Tsimikas dogo yupo vizuri na kwa vile yupo msimu wa pili naona atakua ameelewa vyema Klopp way anachokitaka kwa LB wake, lakini pia kurejea kwa VVD upande wa kushoto umeimarika vyema sana... Kingine anaeshidana nae namba yupo vizuri sana hivyo inamlazimu na yeye ajitume zaidi kua bora. Huu ndio ushindani wa namba kikosini wenye afya kwamba hakuna kulegea ama kua weak link anavyocheza...

Minamino hivi alishajua vyema kiingereza maana alivyosajiliwa pia lugha ililua kikwazo sana kwake kuelewa maelekezo ya walimu....

YNWA
 
Kweli nimeamini choices has consequences hawa Manchester United walimsajili Ronaldo, Varane na Sancho immediately wakawa rated kwamba ni title contenders lakini matokeo yake wanarudi nyuma kimatokeo ni kama badala usajili ule uwaboreshe umekuja kuwavuruga kabisa yaaani...

Usajili ni kamali sometimes unaweza kufanikiwa sometimes unaweza kufeli so far dirisha la June 2021 halijawatedea haki hawa Manchester United na kwa utajili wa hawa Manchester United ni dhahiri hiki kikosi kinahitaji mabadiliko makubwa kabisa yaani wanawachezaji wasiokua na consistency... Wanasubiri magic moment za Ronaldo awabebe yaaani...

Numbisa mna safari ndefu sana.. Pole sana.

YNWA
 
Bobby Firmino jeraha lake sio powa kabisa maana limejirudia ndani ya muda mfupi kwani alikaa mechi kadhaa benchi akapona akarudi na moto na sasa tena ameumia...
Shinda ya hizi hamstrings ni kwama zina kawaida ya kujirudia mara kwa mara. Kuna aina tatu ya hili jeraha la hamstring inaanza grade 1 hii hupona baada ya siku kadhaa, inakuja grade 2 hii inapona ndani mwezi na grade 3 ama severe hii inapona baada ya miezi kadhaa..
Klopp anasema Bobby ni quick healer hivyo anatarajia ndani ya wiki 4 atakua amepona...
Nionavyo hapa kuna shinda kubwa sana mbele hapo kwani Afcon inaanza mapema mwaka ujao na pale mbele ma jembe yetu mawili yanaodoka Mane na Salah. Sasa naona ni wakati sahihi Klopp aanze kumwadaa kwa kumpa mechi dogo Minamino mapema hivi ili kuwa na plan B pale mbele wakiodoka Salah na Mane na pia endapo Firmino atazidi kuwa nje ya mechi kipindi hao hawapo...

Hakika Klopp anahitaji plan A na B namna ya ku survive kipindi Afcon inaedelea..

Pale mbele tuna Origi, Taikumi, Jota, Firmino hawa ndio tuwategemee kutuvusha salama...

YNWA
 
Kweli nimeamini choices has consequences hawa Manchester United walimsajili Ronaldo, Varane na Sancho immediately wakawa rated kwamba ni title contenders lakini matokeo yake wanarudi nyuma kimatokeo ni kama badala usajili ule uwaboreshe umekuja kuwavuruga kabisa yaaani...

Usajili ni kamali sometimes unaweza kufanikiwa sometimes unaweza kufeli so far dirisha la June 2021 halijawatedea haki hawa Manchester United na kwa utajili wa hawa Manchester United ni dhahiri hiki kikosi kinahitaji mabadiliko makubwa kabisa yaani wanawachezaji wasiokua na consistency... Wanasubiri magic moment za Ronaldo awabebe yaaani...

Numbisa mna safari ndefu sana.. Pole sana.

YNWA

Mkuu sasa hivi imekuwa tofauti kidogo sio kama zamani.

Sasa hivi ukitumia hela nyingi kwenye usajiri haikupi uhalali wakuchukua ubingwa hapo Epl.

Mwaka ambao tuliochukua Epl Na klopp hapo Man U ndio waliongoza kwa kuspent hela kwenye usajiri.

Nachokiona kwa hao Man U watakuwa kuwa kama barcelona ya sasa maana hela wanatumia vibaya sana makombe hakuna ni swala la muda tu.

Wao akili zao zipo kwenye usajiri tu ndio matafanya vizuri kitu ambacho sio Kweli.

Wachezaji wao wengi hawajitumi kabisa yaaani wavivu na wanalipwa vizuri sana. Na kingine wachezaji na timu hawana leo moja la kuchukua Epl , nadhani wanataka kwanza watengeneze timu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom