Nilikabiliwa na majukumu mazito ya kitaifa. Ila nilikuwa nawasomeni kwa makini sana.Wee jamaa umepotezwa hapo Picnic Arusha na wajukuu zako sio? Sijakutia machoni hapa jukwaani kitambo sana.
Tangu upate uzee wa kanisa unadili na kwaya ya vijana tu,Nilikabiliwa na majukumu mazito ya kitaifa. Ila nilikuwa nawasomeni kwa makini sana.
Picnic hapana mkuu... nimeamua kuwa karibu na watumishi wenzangu wa Mungu

Tena nimespeshalaizi kwenye sauti ya.kwanza na ya pili tu.Tangu upate uzee wa kanisa unadili na kwaya ya vijana tu,![]()
Wakikaa vby tumewaumizaDawa ni kuongeza "mkandamizo" kipindi cha pili...
Kwani we jamaa unafanya kazi na klopp??Toa Shambalaini weka Thiago toa Mane weka Bobby. Jota acheze wingi ya kushoto.
Group of death