Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,534
- 81,267
Endapo Fabinho ataweza kukaa fit bila kuumia mara kwa mara basi ndugu zangu tutakua favourites major trophies...Fab3 ataficha madhaifu kiasi ya defence yetu
Naangalia pia hapa huku niki switch kwenda kwa Madrid vs Shaktar from time to time.Bwana wee...
Naangalia gemu ya Porto vs Ac Milan.
Hili kundi letu naona njia nyeupe Liverpool kuongoza..
YNWA
Shaktar wanacheza mpira mzure sema wana miss experience tuNaangalia pia hapa huku niki switch kwenda kwa Madrid vs Shaktar from time to time.
Seems like Milan na Porto watatoa sare hapa.
Hii gemu Porto hana bahati kabisa...Naangalia pia hapa huku niki switch kwenda kwa Madrid vs Shaktar from time to time.
Seems like Milan na Porto watatoa sare hapa.
Yeah wanacheza vizuri sana asee. Sio ajabu kuwa huwa wanafungaga vigogo against the odds.Shaktar wanacheza mpira mzure sema wana miss experience tu
Hahaha yeah inatoa sare hii. Cadabra thought he has scored 😂😂Hii gemu Porto hana bahati kabisa...
YNWA
Hata Keita akiwa fit na akiwa kwenye form kama Ile na Man U.... ubingwa nje nje hata EPLEndapo Fabinho ataweza kukaa fit bila kuumia mara kwa mara basi ndugu zangu tutakua favourites major trophies...
YNWA
Japo leo nini mkuu?Safi sana inapenda tukiwa na wenzetu pia.
Japo leo mmm
Naona kuna kautulivu kiasi nlikua na shaka kama tutatoka salamaJapo leo nini mkuu?