Nimegundua timu nyingi zinashindwa kucontrol temper zikikutana na Liverpool na hii huzipelekea kula umeme.Umeme
Yani kidole kiliingia kwenye jicho?Jurgen Klopp: "Unfortunately we lost Curtis Jones last night in training. He had a finger to the eye. Some of the things that can happen in life are extraordinary!" #awlive [bt]
Dawa ni kuongeza "mkandamizo" kipindi cha pili...El_Chollo leo ameingia mkataba mbovu kwelikweli dakika za mwanzoni sisi huwa tunaupigaga mwingi
Liverpool Forever cjui kama kutakuwa na comeback leo mpira dk90
Babu tutolee laana zako kwanza subiri mechi iishe usije kutuletea gunduYani kidole kiliingia kwenye jicho?
Kuna majinga yanaweza kutafsiri kizinzi
Babu tutolee laana zako kwanza subiri mechi iishe usije kutuletea gundu



Yeah msimu huu team kibao wamekula umeme. Ila mimi naona refa pale amekuwa harsh kidogo alitakiwa kumpa yellow. Japo jamaa nae alisha escape yellow nyingine kabla so ni kama alivyoponea mwanzo akajisahau.Nimegundua timu nyingi zinashindwa kucontrol temper zikikutana na Liverpool na hii huzipelekea kula umeme.
Msimu huu tuna jambo letu yaniUmeme
Umeme
Toa Shambalaini weka Thiago toa Mane weka Bobby. Jota acheze wingi ya kushoto.Dawa ni kuongeza "mkandamizo" kipindi cha pili...
Kabisa aisee...Toa Shambalaini weka Thiago toa Mane weka Bobby. Jota acheze wingi ya kushoto.
Rafu ya nyuma hafu kiburi cha mchezaji kimemuongezea jazba refa piaYeah msimu huu team kibao wamekula umeme. Ila mimi naona refa pale amekuwa harsh kidogo alitakiwa kumpa yellow. Japo jamaa nae alisha escape yellow nyingine kabla so ni kama alivyoponea mwanzo akajisahau.
Imeisha hiyo. Ila mwambie Klopp asitoe kauli za utata kwa wachezaji wetu...Babu tutolee laana zako kwanza subiri mechi iishe usije kutuletea gundu za
Aliitwa akadharau..... Dharau zle ningempa brown kadi mimiYeah msimu huu team kibao wamekula umeme. Ila mimi naona refa pale amekuwa harsh kidogo alitakiwa kumpa yellow. Japo jamaa nae alisha escape yellow nyingine kabla so ni kama alivyoponea mwanzo akajisahau.
Wee jamaa umepotezwa hapo Picnic Arusha na wajukuu zako sio? Sijakutia machoni hapa jukwaani kitambo sana.Yani kidole kiliingia kwenye jicho?
Kuna majinga yanaweza kutafsiri kizinzi