Hivi Elliot injury yake kurudi ni hadi next season????
Hivi Elliot injury yake kurudi ni hadi next season????
Thiago ni timing bomu muda wowote linalipuka kwa hiyo weka X hapo kwake pia
Ha ha haaa hujasahau mkuuHey Saint Anne leo kuna gemu ya Uefa Champions league...
Mechi ni saa tano usiku huu pale Anfield tunawakaribisha Atletico Madrid.
YNWA
Saint Anne matchday YNWAHey Saint Anne leo kuna gemu ya Uefa Champions league...
Mechi ni saa tano usiku huu pale Anfield tunawakaribisha Atletico Madrid.
YNWA
Fab3 ataficha madhaifu kiasi ya defence yetu
Bwana wee...