Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Leo hii ndo una kuja na maneno ya mkosaji.....
Mlipo lisajili sim tank so ulisema hakuna ataye funga Kama yeyeee....Sasa mmegundua Kama mlipigwa unakuja na maneno ya kipuuzi et ooo hatutegemei mchezaji mmoja .....

Kwan team gan inategemeà mchezaji mmoja?

Kila team Ina key players....ambaye anakua Bora kuliko wengine so akikosekana lazima mashabiki muwe na wasiwasi.....

Mkoseni mend mumuweke kepa...uone Kama utakua na confidence fala wewe
Kwani Kepa anaweza kosa namba mbele ya Allison?
 
Very stupid comment

City aliwapiga, akapigwa na totts, na nyie mkampiga totts… huwezi kujua hayo because tayari uko ‘locco’
Btw, Liverpool ndiyo team pekee ambayo haijapoteza mechi epl
Jumla ya draw mlizopata mumepoteza point 10+ hamjafungwa ila mumedrop point nyingi tu.
 
Adjustments.jpg
 
Hahaha unachekesha mkuu ..kwa Sasa Muna upepo tu unawanyookea ..mukipata injury tu mutapoteana, ombeni musipate injury
Upepo hata nyie na huo huo tena wa kusurisuri.....

Huu wa kwetu hauzimi ni tsunami ndugu yaaani mechi za ugenini kwa sasa tunafunga goli 3+ hilo ni garantiii sasa wewe jikaushe huoni vijana wanavyopambana... Majibu ni ubao wa msimamo haudanganyi...

Ipo hivi Ollachuga Oc wengi hapa wanakumbali TT amewajenga ki ushindi kwa sasa na ndio hatuwapuuzi hata kidogo mbali tunawaheshimu kama washidani wetu pamoja na Pep hii inatupa nguvu kutokumbali Mtuache mbali sasa wewe edelea kutudharau utakuja kujipiga ban kwenye huu uzi... Kipimo chenu kwa sasa ni kumtangulia Liverpool ila kumbuka kutangulia sio kufika.

Hivi Kimario...

YNWA
 
Mkuu hii Liverpool bila Salaha kwa sasa ni takataka tu ..siku klopp asimpange uyu muarabu muone mtakavyo hangaika. Umejifunza Nini kwa Chelsea? Sisi hatutegemei michezaji mmoja tu kutafuta ushindi.
Sio kwamba hamtegemei mtu, ishu ni simtank mmegundua ni mtumishi hewa
 
🚨🚨BIG NEWS | AFCON is set to be cancelled due to infrastructure problems in Cameroon.😁🤩👊🏻🔴

IMG-20211026-WA0029.jpg
 
Wewe ndo takatakaa ...nimekuambia angalia numbers za magori kwa Salah jota boby na mane keita Jones ...fananisha na wachezaji wenu fala ww....

Salah ana magor meng lakin hafungi peke yake kiazi wewe
Hili jamaa huwa linaropoka tu, alafu ukiuliza swali linaenda nje ya maada
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom