Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Very stupid comment

City aliwapiga, akapigwa na totts, na nyie mkampiga totts… huwezi kujua hayo because tayari dish lime yum a

Very stupid

Btw, Liverpool ndiyo team pekee ambayo haijapoteza mechi epl
Ukitukana ndio utakuwa mshindi au!!
 
Pale juu andika maumivu mkuu ..sahau kabisa kuhusu pale juu, kwa Sasa ni mwendo wa kugawa dozi bao Saba Saba tu sisi hatutegemei mtu mmoja ndio aokoe jahazi.
CFC💙💙💙
Yaani Liverpool akiwa taa limewaka hivi nakuhahakikishia utashuka pale.. Mark my words unaongoza EPL kwa muda tu ila ikifika Mei kipenga cha mwisho priiiiiiiiii zile ribbon za kombe la EPL zitawekwa za rangi nyekudu kuashilia majogoo wameshinda taji la 20...

YNWA
 
Solutuon ni kuwa Egypt na Senegal zitolewe hatua ya Makundi tu lakini ukweli ni kwamba kwa Egypt haitowezekana.
Hivi hawa Brentford na Crystal Palace hatuwawezi bila Mane na Salah seriously ... Kwa huyu Klopp alivyosasa sioni tuki drop pointi kwa hizo gemu 2 za EPL.. Tena hao Bees watatua Anfield tuna jambo letu...
Jota na Firmino wamerudisha intensity wakati sahihi sana aisee... Jana tu Firmino nilijiuliza hivi hapi kati alivyokua trash ni nini kilimkuta lakini kwa gemu ya pili EPL tangu atoke kuumia naona amekuja kivingine kabisa...

Nina imani Mkuu tutakua salama kabisa...

YNWA
 
January kuna winter break ya week mbili so tayari itapunguza idadi ya mechi ambazo wangekosa.

Na pia tarehe 27 December ndio siku team za AFCON zitatangaza vikosi vyao rasmi (majina ya walioitwa) hiyo ni wazi watacheza game ya boxing day vs Leeds.

Pia kuna tetesi kuwa LFC wataongea na football associations za Misri Guinea na Senegal wawaruhusu wacheze kwanza game ya Chelsea tarehe 2 January maana AFCON inaanza tarehe 9 January na final yake ni 7 February.

Hapo January pia kuna rounds mbili za FA cup zinachezwa na pia nusu fainali ya Carabao cup. Hizi mechi tunajua hata wakiwepo wangeweza kupumzishwa.

So game mbili tu za muhimu ndio wanaweza kuzikosa za Brentford tarehe 15 na Palace tarehe 22 January.

Game ya Leicester ya tarehe 9 February itategemea na team zao zitakuwa zimefikia hatua gani huko AFCON so kama kuna ambae atakuwa amecheza fainali lazima atai miss hiyo maana ipo siku mbili baada ya fainal.
Kumbe winter break inaanza msimu huu aisee nilijua ni mwaka kesho 2023... Hii taarifa safi sana na hakika twende sawa na Ligi zingine maana ilikua mchakamchaka na ile baridi nomaaaa sanaaa...

Mhmhmh hii gemu ya Leicester tunawahitaji wakali wetu pale mbele wawe washarudi... Siku mbili nyingi sana watakua wametua UK hopefully hakutakua na mambo ya karantini.

Hayo ma Carabao/FA tuna vijana wa kupambana hivyo sio ishu kuu kwetu..

Hapa cha msingi madhubuti ni vijana wasipate majeraha mapya na kujikusanyia pointi za kutosha mapema tu yaani...

YNWA
 
Lukaku the great ni mashine ingine mkuu. Ngoja January ifike, yeye ndio atakayebeba golden boot.

Sasa hivi ana magoli mangapi?

Maana mechi sita zilizopita hajafunga hata goli.

Mechi sita mfululizo striker hauna huwezo wa kufunga goli lolote,huo ni mzigo wa mavi unaotembea,lukamavi.
 
Kumbe winter break inaanza msimu huu aisee nilijua ni mwaka kesho 2023... Hii taarifa safi sana na hakika twende sawa na Ligi zingine maana ilikua mchakamchaka na ile baridi nomaaaa sanaaa...

Mhmhmh hii gemu ya Leicester tunawahitaji wakali wetu pale mbele wawe washarudi... Siku mbili nyingi sana watakua wametua UK hopefully hakutakua na mambo ya karantini.

Hayo ma Carabao/FA tuna vijana wa kupambana hivyo sio ishu kuu kwetu..

Hapa cha msingi madhubuti ni vijana wasipate majeraha mapya na kujikusanyia pointi za kutosha mapema tu yaani...

YNWA
Yeah winter break ipo kati ya January 23 hadi February 7.
 
Adjustments.jpg
 
Winter break ilianza last season kama unakumbuka EPL winter break yao sio timu zote zinapumzika kwa wakati mmoja zimegawanya timu 10 zinapumzika week end ya kwanza zen nyengine wek end inayofuata
Kumbe winter break inaanza msimu huu aisee nilijua ni mwaka kesho 2023... Hii taarifa safi sana na hakika twende sawa na Ligi zingine maana ilikua mchakamchaka na ile baridi nomaaaa sanaaa...

Mhmhmh hii gemu ya Leicester tunawahitaji wakali wetu pale mbele wawe washarudi... Siku mbili nyingi sana watakua wametua UK hopefully hakutakua na mambo ya karantini.

Hayo ma Carabao/FA tuna vijana wa kupambana hivyo sio ishu kuu kwetu..

Hapa cha msingi madhubuti ni vijana wasipate majeraha mapya na kujikusanyia pointi za kutosha mapema tu yaani...

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom