Mondela
JF-Expert Member
- Aug 20, 2021
- 2,567
- 3,780
Mafalaa tu nyieee... Tutakujaa kuwakojozaa kwenu6Tumewapiga manyumbu bao tano kimasihara...![]()
Tangu aondoke Costa, Chelsea haijawahi kuwategemea forward kufunga magoli, hadi sasa wachezaji 17 wameshiriki katika kufunga msimu huu. Hii inaweza kuwa ndio strenth ya Chelsea kutorelay kwa mtu fulani akiugua au kuumia au akadrop form timu inastrugleKama ambavyo bila Timo na Lukaku mmeupiga mwingi sana pale mbele basi na sisi tutapata jawabu la Salah hivyo hivyo...
Ki ufupi opportunities sometimes bring new surprises ni kwamba usishangae a new star is born Mr Taikumi mpaka ukashangaa...
YNWA
We have dropped 6 pointsJumla ya draw mlizopata mumepoteza point 10+ hamjafungwa ila mumedrop point nyingi tu.
Ukiweka ushabiki pembeni Mkuu utakua hio statement yako sio sahihi... Je hayo ni maoni yako ama ya kocha wenu..Tangu aondoke Costa, Chelsea haijawahi kuwategemea forward kufunga magoli, hadi sasa wachezaji 17 wameshiriki katika kufunga msimu huu. Hii inaweza kuwa ndio strenth ya Chelsea kutorelay kwa mtu fulani akiugua au kuumia au akadrop form timu inastrugle
Wataua kiwango cha Haaland hawa kama walivyo ua kiwango cha Lukaku wamuache Haaland wa watu kule kuleUkiweka ushabiki pembeni Mkuu utakua hio statement yako sio sahihi... Je hayo ni maoni yako ama ya kocha wenu..
Otherwise kama ni kweli usemavyo unaweza ku justify vipi kumnunua Timo £45m na Lukaku £97.3m na klabu rekodi na usitegemee wafunge kwa vile tu Mount watafunga..
Ijulikane kocha wenu sio muumini wa false 9 kama alivyo Pep na Klopp hivyo magoli kwenu kupatikana kwa wachezaji wengine ni kwamba wenye hio kazi hawafungi ndugu. Na ndio maana upo uwezekano tena mkakwenda mazima kwa Haaland ili muongeze firepower pale mbele...
YNWA

Bwana wee.Wataua kiwango cha Haaland hawa kama walivyo ua kiwango cha Lukaku wamuache Haaland wa watu kule kule![]()
Hii mkuu haitaji maoni ya kocha au ya mtu mwingine it is my observations and in practical point of view it will prove me correctUkiweka ushabiki pembeni Mkuu utakua hio statement yako sio sahihi... Je hayo ni maoni yako ama ya kocha wenu..
Otherwise kama ni kweli usemavyo unaweza ku justify vipi kumnunua Timo £45m na Lukaku £97.3m na klabu rekodi na usitegemee wafunge kwa vile tu Mount watafunga..
Ijulikane kocha wenu sio muumini wa false 9 kama alivyo Pep na Klopp hivyo magoli kwenu kupatikana kwa wachezaji wengine ni kwamba wenye hio kazi hawafungi ndugu. Na ndio maana upo uwezekano tena mkakwenda mazima kwa Haaland ili muongeze firepower pale mbele...
YNWA
Well said Mkuu....Hii mkuu haitaji maoni ya kocha au ya mtu mwingine it is my observations and in practical point of view it will prove me correct
Kumnunua mshabuliaji ghali ni jambo jingine na sahihi kwa sababu akifunga magoli mengi ni a big boost kwa timu, lakini pia on the other hand asipofunga na timu ikawa na rekodi nzuri ya kufunga magoli kupitia wachezaji wengine kama Chelsea inakuwa more safe kuliko kutokuwa na wafungaji wengine
Una draw ngapi Hadi Sasa na ume loose point ngapi kwenye hizi draw?Liverpool 21 matches still unbeaten mashindano yote.
Hivi unakumbuka mara ya mwisho Liverpool kufungwa ni lini?
Tulia wewee kazi iendelee.We have dropped 6 points
Kumbe tuna deal na sakala humu