Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

LIVERPOOL VS PRESTON NORTH END LIVERPOOL TEAM NEWS - BLAIR, MORTON DEBUTS

Team to face Preston: Adrian, Williams, Matip, Gomez, Tsimikas, Morton, Jones, Oxlade-Chamberlain, Blair, Minamino, Origi.

Subs: Hughes, Pitaluga, Konate, Firmino, Jota, Dixon-Bonner, Phillips, Beck, Bradley

YNWA
 
Haka kadogo BLAIR kinatakiwa kipewe Menu bora ili apate Maosi wa uhakika! Lakini anajua mpira.
 
Mimi naangalia hii kwa ajili ya kuona viwango vya madogo wetu tu lakini si kwa ajili ya kutaka Kombe kwani ninajua hatuna kikosi cha Carabao wala FA
Namuona Klopp pembeni anavyofoka utadhani ana mpango na so called mickey cups...

Kikosi wala hatuna hapa ni kuwapa akina Origi, Takumi, Nata nk wapate real test kujiweka sharp kwa ajili wakihitajika sapoti yao mbele ya safari...

Leo Ox angalau ameonyesha uhai wa udhubutu kujaribu ku force penetrative shots nje ya box...

YNWA
 
Tunakwenda kwota faino mazimaaaa... Vijana wa akiba watazidi kupata dakika za kucheza ni jambo njema sana.

YNWA
 
😂 😂 😂 😂 😂 😂 Manchester City out alieweka hati miliki ya kombe hili la Carabao ametupwa nje na Westham...
Miaka minne mfululizo wanalidaka hili kombe....
Bora wangeshinda wazidi kua na dakika nyingi uwanjani maana Pep hanaga kikosi B yeye ni full mziki iwe EPL au Carabao...

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom