The MoNA
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 4,264
- 10,503
I liked his reaction kwa cr7 kwenye ile scenario ya Jones pale chini...
I liked his reaction kwa cr7 kwenye ile scenario ya Jones pale chini...
Kanoute ndo keshampokonya namba Matip?
Keita ndo first time team of the weak sio?
Sasahivi hakuna wa kumzidi salah kwa bei huko sokoni, mmbape na umri wake mdogo lakini atauzwa bei pungufu kwa salahHii thamani yake haina tofauti na ya Mason Mount kijana mdogo tu.
Hapa tukiweka pembeni uingereza sjui nini ..je Mount na Salah wakiwekwa sokoni bei zao zitakuwa sawa? Nani atamzidi mwingine?
Jota hafungi?Mkuu kwa Sasa Nani hayiogopi Chelsea? Kuwa Malini unapokutana na mocha mwenye mbinu nyingi. Ukimkaba Salaha asifunge Nani atafunga Tena? Mane ni takataka kwa Sasa, firmino ndio mzigo kabisa. Nani mwingine wa kufunga?! Origi??!
Bwana wee hata nakumbuka kama ndio Winter aisee...Winter break ilianza last season kama unakumbuka EPL winter break yao sio timu zote zinapumzika kwa wakati mmoja zimegawanya timu 10 zinapumzika week end ya kwanza zen nyengine wek end inayofuata
Chelsea isiposhuka mtafanya nini?Yaani Liverpool akiwa taa limewaka hivi nakuhahakikishia utashuka pale.. Mark my words unaongoza EPL kwa muda tu ila ikifika Mei kipenga cha mwisho priiiiiiiiii zile ribbon za kombe la EPL zitawekwa za rangi nyekudu kuashilia majogoo wameshinda taji la 20...
YNWA
Ahsante, yaani sio kwa mpira ule! Watu wanajua nyie acheni kabisa.Karibu sana ndugu jisikie upo nyumbani na upo kwenye mikono salama kabisa ya Mr Klopp.
YNWA
4 Chelsea heroes plus Zouma