Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Winter break ilianza last season kama unakumbuka EPL winter break yao sio timu zote zinapumzika kwa wakati mmoja zimegawanya timu 10 zinapumzika week end ya kwanza zen nyengine wek end inayofuata
Nadhani ile ya last season haikuwa effective kutokana na congestion ya fixtures. Msimu huu nadhani ina stop kwa team zote.
 
Hamna uwezo wa kuitoa Chelsea nyie hata Chelsea kushinda magoli mengi tunaweza hamna uwezo wa kuitoa Chelsea hapo.
 
Zilikuwa ni Propaganda za Malafyale tu zile kumlenga MosDef na wakosoaji wa Klopp kuhusu Henderson, Mignolet na Lovren kwani kwa wakati huo Lovren na Mignolet walikuwa Wachomeshaji wakubwa.
Lakini hakukuwa na KLOPP OUT.
Yes it sounds proper.
Kama Klopp angeendeleza msimamo wake huu angeshafeli siku nyingi na huenda tungekua na kocha mwingine.

Yeye alikua na kauli ana amini katika mazoezi na si usajili. Ila pia huenda alikua akiwatetea FSG kwani pesa ya Coutinho ndio ilileta watu pale viungani.

In Klopp we trust.. Give the gaffer momey the rest will be history.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…