lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,380
- 25,480
Kwa taarifa za media mazungumzo yameanza na agent wa Salah yuko Liverpool tunavyoongea kukutana na Salah na pia kwa ajili ya mazungumzo na klabu kuhusu mkataba mpya wa mshahara wa paundi laki 5 kwa wiki, Liverpool wanaweza kunegotiate hata 350k wale giants wa spain hawana pesa kwa sasaAkuu nani anahitaji miaka 30 ije ndio tupate huo ubingwa haha akuuu... FSG ndugu yangu hawa mabeberu wapo cash tight yaaani mshahara wa Salah lazima uwe generated na klabu na si vinginevyo hapo tu ndio ishu ilipo usishangae hawajaanza nae mazungumzo kwa vile numbers zinagoma kuja maana hawa hawanaga utani kwenye ela aisee na ukumbuke pia expansion ya uwanja inaanza soon hivyo hili la Salah tuwe na subira kabisa usije kuta hata sio priority kwao maana hata Klopp alivyoulizwa alisema hana cha kusema.
YNWA

