Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Hahaha nakusoma vyema Mkuu. Angalau kwa sasa habari ya halisi hakunaga 😂😂...
YNWA
Hahaha nakusoma vyema Mkuu. Angalau kwa sasa habari ya halisi hakunaga 😂😂...
Yeah ile front three inatakiwa iwake asee ikolee kama treni ya umeme. Tuendelee kuwapasaua tu week in week out.Great nitajitahidi kuchangia siku moja moja
Haha naona ile trio yetu ya pale mbele ishafanya mambo tumejipigia tu
Kaka nahisi unatamani kurudi liva halisi😁😁😁😁Ni mchoyo sana, auzwe tu
Nyie si mlipelekewa Moto na Hawa jamaa?Kuna timu leo imebebwa na Mola tu
Nyie mlishindwa vip mnapachikwa bao tatu?Kuna timu leo imebebwa na Mola tu
Wamshukuru Mendy hao, ila Brentford ni team hatari sana.Kuna timu leo imebebwa na Mola tu
Chalobah alimng'ang'ania nani?Nyie mlishindwa vip mnapachikwa bao tatu?


Au ni mbinu tu.Chalobah alimng'ang'ania nani?Au ni mbinu tu.
Nimeshangaa haijawa penati wakati alikuwa on side
Huu mwaka amewasha moto mapema adumu nao huu tupate matokeo.Salah world class...
View attachment 1976719
View attachment 1976721
Kuna mtu mwenye swali na uwezo wa huyu King Salah aka the Last Pharaoh.
YNWA
Wamshukuru Mendy kivipi wakati aliajiliwa kwa kazi hiyo,Wamshukuru Mendy hao, ila Brentford ni team hatari sana.
Ni mchoyo sana, auzwe tu
Mbona nyie mlishindwa kumng'ang'ania.?Chalobah alimng'ang'ania nani?Au ni mbinu tu.
Kwa kichekesho kingine kama hiki tubonyeze ngapi.?Wamshukuru Mendy hao, ila Brentford ni team hatari sana.
Siku zinaenda kasi sana! Tuliwahi kuambiwa Salah auzwe ili acheze Xhaqiri eti ana mashuti![]()



kwamba mwamba anama shuti 

Draw ndio moto?Nyie si mlipelekewa Moto na Hawa jamaa?
Wakati game imeisha mkiwa mmeshika pumbu chalii 😂Nyie kuku mlishindwa kutamba mbele ya Brentford angalia wanaume tunatoa dozi huko hatuna uruma sisi.
Weekend imekuwa tamu than I anticipated...This means weekend yetu after the international break itakuwa ngumu...


Hao Ndiyo MASAFIYeah ile front three inatakiwa iwake asee ikolee kama treni ya umeme. Tuendelee kuwapasaua tu week in week out.



