Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Developing Gossip.

Mo Salah's agent Ramy Abbas Issa flew into England on Saturday - fuelling speculation of further talks over a new £500,000-a-week deal for the Egyptian king.

Source Sky.

YNWA
Hawalipi hii tutasikia tu kwenye media labda 300

Madrid wakileta hazadi na mpunga Klopp atagoma?
 
Sisi ndio Chelsea sasa ..kwa sasa kutufunga inahitaji nguvu kubwa sana. Hapa muna point zetu tatu, jumla ni nne tunabeba kutoka kwenu.
Allison 10 = Mendy mmoja.
Chalii usiwe carried away kiivyo. Anyways najua hapa unaongea kishabiki. Ila Lukaku anaonekana ule uzito wake umeanza kumrudia. Au Man U walimloga nini?
 
CR7 anarudi Real Madrid aisee huu moto wa EpL amechemka hatakua na jipya jana kwenyewe anarukaruka tu uwanjani...

Salah kwa sasa ameamua kuvuja uflame wa hawa jamaa Messi na Ronado japo ana safari ndefu kuwafikia hata nusu yao lakini alivyo sasa na kutajwa kuwa ni bora kama wao ni jambo anastahili kujivunia.

YNWA

Jana nilikuwa namuonea huruma CR7 ,Epl sio ya kitoto pale, nachokiona atakaa muda mrefu bila kufunga.

Mkuu kutamba ligi zingine ni rahisi sana ila Epl ukitamba wewe Kweli unajua,lukaku umemuona kapotea,Epl sio ligi ya watoto hiyo sasa hivi mechi kama nne hivi hafungi.

Salah sasa hivi anazidi kunja records za watu hapo Epl,sisi tulikuwa tunawaona walikuwa bora sana .

Na msimu huu kuna dalili zote akavunja record yake na kwa Epl kuwa a magoli mengi ndani ya msimu moja.
 
Adjustments.jpg
 

Vardy anakimbiza balaa! Mimi ninayemuhofia zaidi ni Harry Kane tu.

Kwasasa EPL Striker mwenye uwezo wa kufunga goli 20 za EPL kwa msimu ni Harry Kane peke yake. Yule Simtank wa Chelsea ni Muhujumu uchumi tu anayewatapeli Chelsea baada ya kuwahi kuwatapeli Manure.

Hivyo kikwazo pekee cha Salah ni Harry Kane kama ilivyokuwa msimu uliopita. Ila msimu mambo yakimkalia Vibaya Harry Kane basi Salah anabeba Golden Boot.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom