Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Kabisa kabla hajaja Thomas pale Chelsea ilikua matokeo ni kama haya ya Ole yaaani hovyo ajabu sasa wachezaji wale wale jamaa anawatumia na wakashinda Champions League, Super Cup na kumaliza big 4..sasa kwa mfano Manchester United wakampata Conte na kikosi kile kile mbona utashangaa watakvyoamsha....Kuna jamaa yangu ni mshabiki wa man u lia lia amenitumia voice note jana ananiambia team ni kubwa kuliko kocha. Yani Man U wana wachezaji ila kocha hamna.
Kwa hali waliyo nayo tunakutana nao tarehe 24 Jumapili ijayo kwenye ligi pale Trafford sitarajii kingine zaidi ya pointi 3.
YNWA