Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kitu pekee tulichokosa msimu huu ni kustruggle kuzifunga Timu kubwa refer game ya Chelsea na Man City ambazo tulipaswa kushinda lakini tumetoa Sare, hivyo ninawasiwasi na game against Manure pia itakua ngumu! Anyway, ninaposhindwa kuwafunga at least tuendelee kutoa sare ili iwe win - win situation.
 
Salah wa sasa huko kwingine ana 51% pa kumkataa.
Nafikiri akubali £350k the rest will be history.
Bwana wee haya mambo hua ishu sana kwa mfano Coutinho aliodoka Liverpool akiwa na uhakika namba kikosi cha kwanza tazama kule alipo sasa mpaka mkopo timu zinamkataa, haya tazama Gini alikua jina la kwanza kikosi cha Klopp lakini tazama PSG hata kuanza mechi au kupata kuingia sub inakua ishu yaaani...

Salah na Mane wawe na umakini sana kuchagua maana kuchagua kwingine kuna madhara ya kufeli mapema sanaa..

FSG wampe hio 350k inamtosha akipata na endorsement angalau anaweza kufika 500k.

YNWA
 
Inatakiwa FSG wafanye coup sasa. Mpe Salah anachotaka kisha vunja kibubu leta Mbappe hao Madrid wabaki wakiduwaa 😂😂😂
😂😂😂Plan naona Mbappe ni next galatico maana Hazad amechemka majeruhi too much hivyo Real wanakusanya nguvu waje mazima kwa Salah au Mane na Mbappe pale ndio watatulia...

FSG wanayo nafasi kabla fitina kutoka Spain hazijamfikia Salah kumvuruga..

YNWA
 
Jana nilikuwa namuonea huruma CR7 ,Epl sio ya kitoto pale, nachokiona atakaa muda mrefu bila kufunga.

Mkuu kutamba ligi zingine ni rahisi sana ila Epl ukitamba wewe Kweli unajua,lukaku umemuona kapotea,Epl sio ligi ya watoto hiyo sasa hivi mechi kama nne hivi hafungi.

Salah sasa hivi anazidi kunja records za watu hapo Epl,sisi tulikuwa tunawaona walikuwa bora sana .

Na msimu huu kuna dalili zote akavunja record yake na kwa Epl kuwa a magoli mengi ndani ya msimu moja.
Yaaani Ronaldo sijui wanakwama wapi aisee maana pale Trafford pamesheheni wachezaji wa viwango kabisa hivyo ushindi kwao ilitakiwa sio wa kutafuta.. Wakati ligi inaanza Manchester United walikua bookie favourites kwenye ubingwa lakini kila siku wanazidi kufutika kwenye hizi mbio kali msimu huu.

Ole wamempa mkataba mwingine nadhani msimu uliopita kwa sasa waangalie nini kimemkuta Lampard Chelsea na wao wafanye hivyo hivyo.

YNWA
 
Msomeni Gary Neville akitoa maoni yake kuhusu dogo Salah....

Neville has earmarked Real Madrid, Paris Saint-Germain and Barcelona as three clubs who Salah might play for before the end of his career.

The 29-year-old Salah has long been linked to Real. Barca might struggle to finance a deal given their huge debts.

"I don’t think he will stay at Liverpool for the rest of his career. It's my personal view. It’s always been that view but I could be wrong," Neville said on Sky Sports' Overlap forum

There’s a project and there’s something they have to achieve in their lives. They have to play at certain clubs, they have to go and experience certain things.

"I think Salah’s got to experience Real Madrid, the Bernabeu. Real Madrid are going to come back, by the way.

"I know it’s not great at the moment at Barcelona and Madrid but Salah is similar to those I’ve just mentioned, I think he has to have that on his CV at the end of his career.

Kazi ipo over to you FSG.

YNWA
 
Bwana wee haya mambo hua ishu sana kwa mfano Coutinho aliodoka Liverpool akiwa na uhakika namba kikosi cha kwanza tazama kule alipo sasa mpaka mkopo timu zinamkataa, haya tazama Gini alikua jina la kwanza kikosi cha Klopp lakini tazama PSG hata kuanza mechi au kupata kuingia sub inakua ishu yaaani...

Salah na Mane wawe na umakini sana kuchagua maana kuchagua kwingine kuna madhara ya kufeli mapema sanaa..

FSG wampe hio 350k inamtosha akipata na endorsement angalau anaweza kufika 500k.

YNWA
Umri ushamtupa naamini hiyo tano inatajwa tu ila lengo ni tatu kwa anacho fanya sasa atapata kingine aombe tim ipate mafanikio pia japo kwenye mafanikio ndo wanaibuka na kina Boby nao sijui itakuaje akiendeleza kufunga ha ha haaaa
 
Msomeni Gary Neville akitoa maoni yake kuhusu dogo Salah....

Neville has earmarked Real Madrid, Paris Saint-Germain and Barcelona as three clubs who Salah might play for before the end of his career.

The 29-year-old Salah has long been linked to Real. Barca might struggle to finance a deal given their huge debts.

"I don’t think he will stay at Liverpool for the rest of his career. It's my personal view. It’s always been that view but I could be wrong," Neville said on Sky Sports' Overlap forum

There’s a project and there’s something they have to achieve in their lives. They have to play at certain clubs, they have to go and experience certain things.

"I think Salah’s got to experience Real Madrid, the Bernabeu. Real Madrid are going to come back, by the way.

"I know it’s not great at the moment at Barcelona and Madrid but Salah is similar to those I’ve just mentioned, I think he has to have that on his CV at the end of his career.

Kazi ipo over to you FSG.

YNWA
Hawa ndo wanaowapa vichwa madalali na kuwapoteza wachezaji akienda awe na mawili.
Kama ilivyo kwa kina Saurezi natumai tutaibua mwingine japo kuanza maisha mapya ni ngumu.
 
Kitu pekee tulichokosa msimu huu ni kustruggle kuzifunga Timu kubwa refer game ya Chelsea na Man City ambazo tulipaswa kushinda lakini tumetoa Sare, hivyo ninawasiwasi na game against Manure pia itakua ngumu! Anyway, ninaposhindwa kuwafunga at least tuendelee kutoa sare ili iwe win - win situation.

Mkuu hao Man U,kwa namna walivyocheza Jana nimeona Kabisa tunachukua point pale kiulaini sana maana ukutawetu sio wa kitoto na tunafunga sana,Man U kila mechi lazima aruhusu goli tu, yaani ni wabovu sana na wachezaji wake ni wavivu balaa maguire ukimkaba kwa nguvu unachukua mpira.
 
Adjustments.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom