Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Angalia wanaume hatuna mbwembwe tunapiga kimya kimya mkija shituka ubingwa mapema tu ushaingia kabatini.
 
Yani Vipaji + Experienced players alivyonavyo Manure tungelikuwa tunavyosisi Liverpool basi Klopp angebeba Ubingwa mapema sana.
Lakini Ole kamfanya Sancho acheze kama Xhaqiri.
Kamfanya Pogba anacheza kama Milner
Kamfanya Bruno anacheza kama Keita
Yule Fred ndiyo kamuua kabisa kabaki kama OX tu.
Kamfanya Rashford anacheza kama Benteke.
Van De Beek yeye kawa kama Mkude tu.
 
Sisi ndio Chelsea sasa ..kwa sasa kutufunga inahitaji nguvu kubwa sana. Hapa muna point zetu tatu, jumla ni nne tunabeba kutoka kwenu.
Allison 10 = Mendy mmoja.
 
Halafu kuna kenge zinampa CR7 tuzo ya uchezaji bora wa mwezi
CR7 anarudi Real Madrid aisee huu moto wa EpL amechemka hatakua na jipya jana kwenyewe anarukaruka tu uwanjani...

Salah kwa sasa ameamua kuvuja uflame wa hawa jamaa Messi na Ronado japo ana safari ndefu kuwafikia hata nusu yao lakini alivyo sasa na kutajwa kuwa ni bora kama wao ni jambo anastahili kujivunia.

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom