Zumbemkuu amesajiliwa chipolopolo😜😜😜😜😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥🔥..MKUU UNATAKA MAKOFI ETI EEH
Jamaa wa chuga yule mbishi subiri aje atakwambia Les Blue wanaongoza ligi wakati majogoo tumo na pointi zetu 18 vileee..Yule jamaa mbishi sana atakuwa ndugu yake na sabaya
Atakuja hapa endapo akimpiga BrentfordJamaa wa chuga yule mbishi subiri aje atakwambia Les Blue wanaongoza ligi wakati majogoo tumo na pointi zetu 18 vileee..
YNWA
Kwa sasa kila timu ishinde gemu zake aiseee hakuna namna.Atakuja hapa endapo akimpiga Brentford
Umejaribu kuangalia kwenye spam folder kwenye email uliyofungulia account???Hongereni kwa usahindi mzuri kabisa leo, mm nakabaliwa na changamoto nilisahau password ya akaunti ya bengalisis na kila nikifanya jitihada za kurest imekuwa sipati mresho mwezi sasa
Dah sema Brentford ni wabishiAtakuja hapa endapo akimpiga Brentford
Great nitajitahidi kuchangia siku moja mojaUwe unachangia sasa. Mimi huwa nakuwepo na kupotea kidogo.
Match day leo. I hope tutashinda. Japo naona tunakosa key players kama Ali na Fabinho.
Sawa mtabeba ndoo Chelsea tunabeba kombe la EPlLiverpool mwaka huu tunabeba ndoo