Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,533
- 81,264
Uwe unachangia sasa. Mimi huwa nakuwepo na kupotea kidogo.Sure huwa napita tu kimya kimya siku moja moja ila sijawahi kuchangia chochote. Tuko pamoja boss.
Match day leo. I hope tutashinda. Japo naona tunakosa key players kama Ali na Fabinho.