D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
Sadio Mané has become the third African player to reach 100 goals in the Premier League, after Didier Drogba and Mohamed Salah
Mbona kwangu hakuna nililipia jana cha 21, hako ka offer naomba kanipitie...nimezima na kuwasha lakn hamna kitu



hapa nakula maisha aisee, em izime tena mkuu 


Mo salah is the best player in the world right nowMo salah is the best player in the world right now
Lazima wafanye hivyo wana hali mbaya sana haoDah! Dstv sijui imekuaje nililipia kifurushi cha 21000 et wamenipa niangalie channel nyingi hadi premier league hivyo leo naenjoy hii mechi
Mkataba wanavyochelewa kumpa wanazidi kujiweka pambaya sana maana hii goli la leo mshahara ushafika 300k.. Wampe ela tuedelee kufaidi magoli kama haya.MO SALAH




Mkataba wanavyochelewa kumpa wanazidi kujiweka pambaya sana maana hii goli la leo mshahara ushafika 300k.. Wampe ela tuedelee kufaidi magoli kama haya.
YNWA
Bwana wee mwarabu naona anakula alkasusu maana sio kwa moto huu wa sasa....Embu ifike muda tuanze kuwasahau akina MESSI na CR7.
Tuhamishie macho kwa SALAH.
BossBwana wee mwarabu naona anakula alkasusu maana sio kwa moto huu wa sasa....
YNWA
Kwa kweli wampe huu mkataba mpya angalau miaka minne inatosha maana dogo kawa mkali sana wa twisting yaaani hii klabu kwa sasa tunakula good time sanaaaa....Boss
TUNAZINGUA WAMPE MKATABA MWARABU, YAANI SALAHA HATA AKIDAI 600K KWA WIKI WAMPE TU.
Hey comrade..
YNWA