Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Unataka kusema Chelsea mna mabeki wazuri kuliko liver? Sio kwamba team kufungwa goli chache ndio Ina mabeki wazuri. Mfano nyie Chelsea mnabebwa na mfumo wa mwalimu wa kujilinda Ila beki zenu huwez fananisha na za liver. Kwanza pale epl sidhan Kama Kuna team ina mabeki wazuri Kama liverpool
Kwa Hindi beki yenu inavyoruhusu mabao kizembe ni ngumu Sana kwa nyie kuwa mabingwa. Labda itokee performance ya city na Chelsea imeshuka. Lakini ukiwa Hivi Hivi hata man u anaweza kukuacha nyuma
 
PREMIER LEAGUE WENYEWE WALIPOST WANATAMBUA HILI...!

PETER DRURY ANAKWAMBIA "LIVERPOOL vs CITY", The rivarly of our days...

Kwa kweli kwa zama hizi tulizonazo hawa jamaa ni full rivalry yaaani ukizingatia kwenye mbio za ubingwa wao hua favourites kila msimu kuchukua EPL na UCL. Ni ili kudhibitisha hilo Pep hua anakomaa kwa Liverpool asitoke bila pointi.

Msimu huu naona tena tukikutana nao UCl hawa jamaa.

Peter Drury Hahahahaha huyu babu sio wa kawaida. Ana makeke sana, awesome literature na very poetic. Ni hazina kubwa sana kwa BT sport akitangaza EPL production.

YNWA
 
Naona Premier league walimpa #Salah award ya "King Of The Match" inayodhaminiw n @Budfootball....following his individual performance and brilliant 2nd Goal, Goli la Kideo lile kiongoz!

a27406e1-525f-46e7-8f07-94dce9eb4024.jpg
 
Naona Premier league walimpa #Salah award ya "King Of The Match" inayodhaminiw n @Budfootball....following his individual performance and brilliant 2nd Goal, Goli la Kideo lile kiongoz!

View attachment 1965375
Lile goli sio la dunia hii aisee...made from Mars delivered by Salah hapa duniani 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂...

sitoshanga kama likiingia kwenye ushindani wa GOLI OF THE SEASON mwishoni mwa msimu huu EPL kama sio kuchukua kwenye category iyo linaweza shinda ile PUSKAS AWARD YA GOLI BORA aliyochukua Son VS Burnley msimu uliopita Kwenye FIFA THE BEST AWARDS 2020!

Refer hili goli la SON....
 
Goli la Salah la kawaida ,mbona amefunga mengi ya hivo aisee ....

Mimi kila nikiangalia lile goli sioni maajabu yake ya kuanza kutengeneza drama na sanamu la Salah epl ...

Hizi habari ziishe tuu ,ni goli la kawaida sanaaa
 
Hahahaaa! Yaani wewe unajua kuliko Pep?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom