Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
Wameanza mbwembwe zao.
Ebwana weee mdogo mdogo wanaanza kama Mansour alivyotua pale Ethad mwaka 2008 na jamaa wakaanza kua formidable force hapa EPL nk....

Je tutegemee haya kwa Magpies... in the 13 years under Sheikh Mansour, City have won 5 Premier League titles, 2 FA Cups and 6 EFL Cups. But even after the £2.5bn ($3.5bn) of Abu Dhabi money that has reportedly been invested in the club since Mansour's takeover, the coveted Champions League has continued to elude the blue half of Manchester....

YNWA
 
Pain Killer hivi hizi ela mnazi print pale pale Ethad ama maana huu mpunga si mchezo yaaani ndani miaka 13 mmetumia £2.5b jamani. Na mpaka sasa Champions League inawapiga chenga. Huyu Pep pamoja na kua kocha bora asipoileta hii UCL Ethad itakua hasara sana aisee...

CL inaumiza kichwa cha pep ....

Muda ukifika tutachukua tu ,tumpe muda pep...
 
Mpaka hapo pep anatakiwa kujengewa sanamu Etihad ,kuifikisha city final CL kwa mara ya kwanza sio mchezo .....

And CL sio kombe la kawaida ,huwezi ingia final at first time na kulibeba .....
 
Klabu yenu ni ndogo sana

Kuingia fainali first time mmekuwa excited

Man shit ni underdog tu
 
CL inaumiza kichwa cha pep ....

Muda ukifika tutachukua tu ,tumpe muda pep...
Bila shaka mtalipata tu ni suala la muda.

Na mara zote mmesogelea au mmeingia fainali mnakua favourite kulichukua ila Pep bhana ni seme kwa kifupi ana OVER THINK upangaji wa kikosi duuh hilo ndio linamwangusha...

YNWA
 
Mpaka hapo pep anatakiwa kujengewa sanamu Etihad ,kuifikisha city final CL kwa mara ya kwanza sio mchezo .....

And CL sio kombe la kawaida ,huwezi ingia final at first time na kulibeba .....
Sanamu mpaka achukue UCL bhanaaa sio hivi hivi....

YNWA
 
Sema champion league Ni kombe lakibabe Sana ....halitaki kabisa kwenda kabatin peke akee....linataka liyakute mengine...kiufupi Kama hujalichuku mapema hulipatiiii....

City hata akutane na Astonvilla ....villa anachukuaaaa kiulaini....coz kashalibeba
 
Developing News...

Upo uwezekano wa kuwakosa Fabinho na Allison mechi ijayo EPL dhidi ya Watford kwa namna mechi zao za Kimataifa zilivyopangwa imeshidikana. Liverpool waliadika barua kwenda Watford kuwaomba mechi ichezwe saa nne usiku lakini Watford wamekataa wakisema kubadili kwa muda huu kutawachanganya mashabiki wao.

Nasikia pia Curtis Jones ni majeruh....aisee

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom