Achana nae huyo akili HanaOna huyu
"Mna beki mbovu zinapitika kizembe then Allison alikuwa shati beki ndio zilimbeba"
Huu si uchizi.. sasa AB anabebwa vipi wakati ushasema beki mbovu!
sitoshanga kama likiingia kwenye ushindani wa GOLI OF THE SEASON mwishoni mwa msimu huu EPL kama sio kuchukua kwenye category iyo linaweza shinda ile PUSKAS AWARD YA GOLI BORA aliyochukua Son VS Burnley msimu uliopita Kwenye FIFA THE BEST AWARDS 2020!
Refer hili goli la SON....
Mkuu lile goli la kuombea mkataba aiseee... Dogo fununu ana demand mshahara angalau £300k +. Kwa wiki hivyo kwa hii performance yake msimu huu sina wasiwasi atazidi kufanya makubwa.Imebidi nirudi tena youtube
inama nipasulie yai ,ukuni uzame ,!!Mbona unaongea kama vile una kipande cha Kimba makalioni.
Daaah! At the age of 23 kashatoboa wakati kichaa nna 45 bado naamini ipo siku tu!!View attachment 1966579
Happy Birthday Trent Alexander-Arnold
134 PL Appearances
43 Clean Sheets
35 Assists
8 Goals
1 Premier League 🥇
1 Champions League 🥇
1 Super Cup 🥇
1 Club World Cup 🥇
He turns 23 today!
Kilichoniuma ile mechi nayo tulitoka sareHuyu Salah hua kwenye locker yake zimo zimo aliwai kuwafunga Tottenham goli kama lile aisee mwaka 2018 February 4.
Aliwafunga Tottenham Hotspur identical goal kama la juzi na lile goli was pure class na sensational kwa kweli.
YNWA
Jibu swali sisi tulikuwa wa ngapi kwenye msimamo wa league na nyie mkawa wa ngapi?mkachukua nn kwenye uo msimamo![]()
Lile goli ni la pointi 3 murwa sana sio sare aiseee. Nwa tugange yajayo hii ishapita.Kilichoniuma ile mechi nayo tulitoka sare
Hawa Saudia waliikosa aje Liverpool miaka ileeeeee.Steven Gerrard no the favourite to land the Newcastle job if Steve Bruce is sacked.
View attachment 1967004