johrobby
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,066
- 2,252
Mwaka huu watajuta timu lao bovuuu halina direction kabisaaaaaaaa


kuongoza ligi inawauma eeh nyie lipuli mna miaka 30 tena ya kusubrMwaka huu watajuta timu lao bovuuu halina direction kabisaaaaaaaa


kuongoza ligi inawauma eeh nyie lipuli mna miaka 30 tena ya kusubrcheki ili lishabik la arsenal lililojificha nyuma ya tim ilojulikana 2005 liko lenyew kama mlozHao madogo wa darajani wakivamia uzii ni Kama nungunungu ,pumba tupu ....
Unaweza fikili wamevuta bangi












Kwa akili yako milner Ni first eleven ya Liverpool?milner ata norwich apat namba kikos cha kwanza mmejaa wazee tupu 30+ alaf unabwabwajalipuli
Unamia Liverpool kisa katoa Drow na Man city?.Ukweli Mimi n mwanachesii damu damu lakini hii Liverpool hatuiwezi inatisha kama nini.. Huyo Salah sijui hata kwanini tulimuuzaga maana kwa sasa ndiye mchezaji bora ulaya anafunga kama kalogwa na mzigua ... Sasa lile pipa letu sijui kama litafikisha hata nusu ya goli za salah mwisho wa msimu... Sijui nihamie kwa majogoo maana nauhakika sisi Chelsea n wasindikizaji tu



Soma kwa makiniUnamia Liverpool kisa katoa Drow na Man city?.
Mashabiki wa Arsenal utawajua tu
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app

hilo n dongouna mchezaj gan wa kumueka milner njeKwa akili yako milner Ni first eleven ya Liverpool?













Karibu kwa majogoo mkuu..upate furaha iso kifan wewe na familia yako...CHELSEA NI JIPU MUDA WOWOTE LINAPASUKA..EPL NI MBIO ZA MARATHONI KM 42...TUCHEL HAZIWEZIUkweli Mimi n mwanachesii damu damu lakini hii Liverpool hatuiwezi inatisha kama nini.. Huyo Salah sijui hata kwanini tulimuuzaga maana kwa sasa ndiye mchezaji bora ulaya anafunga kama kalogwa na mzigua ... Sasa lile pipa letu sijui kama litafikisha hata nusu ya goli za salah mwisho wa msimu... Sijui nihamie kwa majogoo maana nauhakika sisi Chelsea n wasindikizaji tu
Unaiongelea Chelsea ipi? mabingwa wa ulaya au Chelsea ya Nigeria,ila kama ni hawa Chelsea mabingwa wa ulaya mwaka huu niwao hakuna wakuwazuia mjipange.Karibu kwa majogoo mkuu..upate furaha iso kifan wewe na familia yako...CHELSEA NI JIPU MUDA WOWOTE LINAPASUKA..EPL NI MBIO ZA MARATHONI KM 42...TUCHEL HAZIWEZI
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Ollachuga Oc njoo huku.Ukweli Mimi n mwanachesii damu damu lakini hii Liverpool hatuiwezi inatisha kama nini.. Huyo Salah sijui hata kwanini tulimuuzaga maana kwa sasa ndiye mchezaji bora ulaya anafunga kama kalogwa na mzigua ... Sasa lile pipa letu sijui kama litafikisha hata nusu ya goli za salah mwisho wa msimu... Sijui nihamie kwa majogoo maana nauhakika sisi Chelsea n wasindikizaji tu
Huu ushindani kwasasa ni Mkubwa lakini hauwezi kudumu kwa miaka mingi kwasababu si ushindani wa Kitimu bali ni ushindani binafsi wa Pep na Klopp tokea Ujerumani.
Wakiondoka PEP na KLOPP tu pale EPL basi huu ushindani utapotea na kuwa mechi ya kawaida tu kama zamani.
Walimtazama Aaron wa Norwich ishu kuu ni mpunga mrefu sasa sina uhakika kama hata hua mpango upo kwa sasa....Sure thing Captain. Hatuwezi kumtegemea Millie tena hasa ikiwa RB kwake ni makeshift position. Umri wake pia umeenda hawezi ku perform at the highest level ukitegemea yenyewe anapambana na vijana wachanga ambao wepesi sana na technically gifted.
Neco Williams bado anahitaji ku prove kuwa ana uwezo wa kufill in when needed.
As of now tunatakiwa kuingia sokoni tu tupate raw talent kama backup ya TAA kule RB.
Aisee huyu sasa ushakua ushindani wa kudumu ndugu japo ki ukweli Manchester City kwetu hakuaga na kifua ilikua anakaa home and away sema kwa sasa wanapambana haswa kufuta huu uteja..Huu ushindani kwasasa ni Mkubwa lakini hauwezi kudumu kwa miaka mingi kwasababu si ushindani wa Kitimu bali ni ushindani binafsi wa Pep na Klopp tokea Ujerumani.
Wakiondoka PEP na KLOPP tu pale EPL basi huu ushindani utapotea na kuwa mechi ya kawaida tu kama zamani.
Kweli to win trophies luck is paramount.
Just kidding mkuu usichukulie serious,Samahani kuna uhusiano gani kati ya FSG na Jakaya Kikwete?
JK=Jurgen Klopp.



Karibu sana mkuu, ila lile pipa halina lolote njoo Liverpool ufurahie maisha. Kwanza Liverpool ni team ambayo huwa haina stress saana kama wapaki mabasi, man u Arsenal n.k.Ukweli Mimi n mwanachesii damu damu lakini hii Liverpool hatuiwezi inatisha kama nini.. Huyo Salah sijui hata kwanini tulimuuzaga maana kwa sasa ndiye mchezaji bora ulaya anafunga kama kalogwa na mzigua ... Sasa lile pipa letu sijui kama litafikisha hata nusu ya goli za salah mwisho wa msimu... Sijui nihamie kwa majogoo maana nauhakika sisi Chelsea n wasindikizaji tu
Wakati huo tumepgwa goli saba kwenye msimamo wa league tulikuwa wa ngapi?tusijisahaulishe ii picha ya kutishaView attachment 1963627
Aisee huyu sasa ushakua ushindani wa kudumu ndugu japo ki ukweli Manchester City kwetu hakuaga na kifua ilikua anakaa home and away sema kwa sasa wanapambana haswa kufuta huu uteja..
Nasema ni wa kudumu design kama Chelsea ilivyo sasa tangu katua Mourinho ushindani na hawa jamaa uliongezeka sana na mpaka sasa mechi yetu na hawa jamaa hua full package.
Wakiodoka Pep na Klopp nina uhahika huu ushindani utazidi kua hivi hivi maana ili uwe bora lazima umpige alie bora na tangu watue Mansor pale Ethad jamaa kila mwaka wapo bora aisee hivyo hawa tunao sana tuu...
YNWA