Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mbna sisi tukiwambia Liverpool ni Tim nzuri mna kataaa....Kwan LiveScore zinatofautiana?

Hiyo ndiyo Sifa ya Rent Boys watakwambia Wana Timu nzuri lakini wanashindwa kujua kama Uzuri unapatikana kwa Matokeo ya Uwanjani na sio Mdomoni.

Timu inapaki Basi kwa Liverpool, Mancity na inapigwa na Juve halafu wanajisifia Uzuri.
 
Fabinho
Keita
Henderson
Milner
Jones
Elliot
Thiago
Chamberlain

Dah! Tuna maiti zinakula mishahara ya bure si mchezo Yani.

Hapo ndiyo tunakuwa brainwashed eti Liverpool ina kikosi kipana kumbe ni lundo la Watumishi hewa.
 
Nanukuu "Conte Kadai Chelsea Hawatumii Lukaku Ipasavyo"
Mwisho wa kunukuu.

Hayo ni maneno ya Washabiki wa Chelsea waliyomnukuu Conte wakati ambao MO Salah hatumiwi bali anajituma Mwenyewe.
 
Kwenye Timu yetu mpaka sasahivi tuna Wachezaji wawili tu ambao wanastatus ya :Liverpool's Legend' kabla hawajastaafu.

1) Jordan Henderson
2) Mo Salah

Na Wachezaji wawili ambao wapo nje ya Liverpool wana status ya 'Liverpool's Legend' kabla hawajastaafu

1) Lucas Leiva
2) Simon Mignolet

Haki ya Mungu nimeshasema njoni muniuwe
 
Unaandika vitu gani mzee?

Nadhani ulipoona Jina la Fabinho, Jones, Elliot ndiyo ukakosa maana halisi niliyoiwasilisha.

Anyway:
Hayo majina yanawasilisha idadi kubwa ya Viungo tulionao.

Utumishi hewa ni kuwa na baadhi ya Viungo wasioisaidia Timu bali wanalipwa kwa wasichokifanya.
 
Mbna sisi tukiwambia Liverpool ni Tim nzuri mna kataaa....Kwan LiveScore zinatofautiana?
Timu yenu tunakataa kuwa ni nzuri kwa sababu mlishindwa kutufunga tukiwa pungufu, Hapo tu...

Kama ingekuwa kinyume chake yaani nyie ndo muwe na red card mngeona tungewafanya nn?
 
Opinion yako tu mkuu
defensively TAA hamfikii Milner kwa umri wa Milner na Taa huyu huyu.

Milner ni kijana mzee hasa akipiga RB.

Game vs Madrid Anfield alipotolewa zizou ndipo akawapumzisha Kroos na Modric.

Kwa ufinyu wa kikosi Milner muhimu sana.
TAA hayupo vizuri defensively ndio maana southgate aliamua kumuacha katika selection ya Timu ya taifa iliyoshiriki Kombe la dunia. Huwa sina imani naye tunapocheza na timu zinazoshambulia kwa kasi,turejee mechi dhidi ya Man city msimu uliopita, dhidi ya Ac Milan na dhidi ya Brentford ( zote za msimu huu). Kifupi dogo defensively ni tatizo pale Liverpool.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TAA hayupo vizuri defensively ndio maana southgate aliamua kumuacha katika selection ya Timu ya taifa iliyoshiriki Kombe la dunia. Huwa sina imani naye tunapocheza na timu zinazoshambulia kwa kasi,turejee mechi dhidi ya Man city msimu uliopita, dhidi ya Ac Milan na dhidi ya Brentford ( zote za msimu huu). Kifupi dogo defensively ni tatizo pale Liverpool.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunamfaidi offensively zaidi ya defensively
 
Simple and Clear! Kwenye Timu za Chelsea, Man City, Liverpool na Man United hakuna Timu hapo inayoweza kumtaka Milner isipokuwa Liverpool.

Nimalizie kusema Milner sio Mchezaji mpera bali ni Veteran! Hana chochote anachoweza kuoffer awapo uwanjani isipokuwa anafaidika na sera za Liverpool kubwa ni Dampo la useless players.
Kwa hiyo kipimo cha mchezaji bora ni kupitia hizo timu ulizoainisha.

Aisee we jamaa duh.! Mchezaji anapimwa kwa mafanikio Milner kayabeba mane ambyo Bruno hajayabeba na huko kote alikiwasha sana kaangalie stats za CL za Milner akiwa kwetu.

Jamaa mara nyingi hua una crush sana hata umuhimu mdogo wa mchezaji hauuoni.

Milner bado mpira upo umemjaa sana licha ya umri wake anawapiga KO vijana wengi tu.

Dah.! jamaa unaangaliaga mpira ukiwa umekaa juu ya tv huku ukiangalia makochi nini?

Milner hana chochote anachoweza kuoffer hahahah dah.! Sera ya timu inambeba hahah sasa ulitakaje mkuu.

Au nawe ndio wale pep anabebwa na kina Messi..?

Huu uchambuzi wako kwa Milner kaurudie upya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom