The MoNA
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 4,264
- 10,503
kote sawa mzee ila kuwaita walio hai maiti dah.! umevuka mipaka brother.Fabinho
Keita
Henderson
Milner
Jones
Elliot
Thiago
Chamberlain
Dah! Tuna maiti zinakula mishahara ya bure si mchezo Yani.
Hapo ndiyo tunakuwa brainwashed eti Liverpool ina kikosi kipana kumbe ni lundo la Watumishi hewa.
Hao pia ni binadamu kama wewe kama ndugu jamaa na marafiki zako.
Kua muungwana kukosoa busara na hekima ni njema sana kaka.
YNWA