choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 2,289
- 4,089
Tatizo la beki bado sijajua ni la kimfumo ama makosa binafsi, ukiangalia trend ya mechi tatu , vs milan zinaingia goli 2 ndani ya dakika 2, vs Cpalace beki ilikatika mno sema tuu palace hawakua clinical wangepata hata goli 2, mechi ya jana tuu tumeokoa kwenye line mapema kabisa, tukishambuliwa inakua hatari sana, kama sio Allison jana ilikua ni 4-3, kwa staili hiiya uchezaji nina wasiwasi mechi na CityNa ndiyo hapa wengi wanapochanganyikiwa na matokeo ya jana.
Wanaangalia udhaifu wa Liverpool bila ya kuangalia Ubora wa Brentford.