Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huu msimu kwa sasa nyie wana Liverpool mumeshapoteana ..kwa sasa hamuna kikosi cha kuleta ushindani mkubwa kwenye hii title, ninyi ni baiskeli ya barafu tu. January hapo tutaanza kushuhudia mutakavyopoteana hapa.
Sisi klab bingwa mapema tu ..tunabeba hili kombe ..
CFC
Wewe ollachuga ni MAJI kabisa
 
Kwa sasa kuifunga Chelsea goli zaidi ya moja mujipange sana.

Chelsea ndio timu pekee itakayokuwa na goli chache za kufungwa msimu huu.

Ninyi na defense yenu na lile shati lenu pale golini basi muna hatari sana ya kuwa na magoli mengi ya kufungwa.

Bwana Ilakiza ngoja nikudokeze kidogo ..sisi ni machampion wa Ulaya na dunia kwa ujumla. Hivyo usifananishe kikosi cha kimataifa na ninyi underdog ..huu msimu mabingwa tushajulikana kitambo kabla hara ligi ijaanza. Ninyi ni wa level ya chini sana kikosi chenu hakuna tena ule ubora wa mwanzo. Undeni timu kisha muje mushindane na wababe wa dunia.
Yaan Nyie mashabiki wa Chelsea mlio wengi akili ziko miguuni....Yan unamwita liver underdog....wakat UEFA zenyewe unazo mbili tuu....Yan UEFA zenu ukizidisha Mara tatu ndo unapata za Liverpool..,..

Ulivyo huelewi mpira ....hujui mpaka Sasa una mfungaji wa angalau wa kukupa gori mmoja tu mbuzi wewe.....
Kabla ya mech ulikua unajigamba oooh namfunga city nakaa juu. .....sifungwi na Tim yoyote...umefungwa unaanza kuja na mitindo ya kujifarij mnachukua ubinngwaaa...

Ubingwa wa nyokoo...
 
Adjustments.jpg
 
Naona Rent Boys baada ya kufukuliwa Darajani na Man City sasahivi wanajifariji kwa kusema eti next week Brighton ndiye atakayeongoza Ligi

Wengi wao ni washambana sana mpira hawajui,hawana kikosi chakuchukua ubingwa ni swala la muda tu. Mechi yao na man city wamepiga shot off target ni moja tu na on target hakuna.

Brighton akiongoza ligi haiwasaidii chochote hao sisi tutarudi tu kwenye nafasi yetu ya kwanza hata baada ya wiki ijayo.
 
Wengi wao ni washambana sana mpira hawajui,hawana kikosi chakuchukua ubingwa ni swala la muda tu. Mechi yao na man city wamepiga shot off target ni moja tu na on target hakuna.

Brighton akiongoza ligi haiwasaidii chochote hao sisi tutarudi tu kwenye nafasi yetu ya kwanza hata baada ya wiki ijayo.
League n marathon ndefu ye kufungwa tena bila on target haiondoi Chelsea kuwa title contenders...na Chelsea kamalizana na almost fixture ngumu mzunguko wa kwanza...
 
Yeah hilo ndio la msingi. Ila niliona tetesi kuwa Real Madrid wanammendea Mike Edwards, huyu jamaa akiondoka itakuwa ni pigo kwetu.
FSG wakitaka upgrade ya Edwards basi wampate huyu Mjeremani Ralf Rangnick huyu mwamba ndio kaikuza brand ya Red Bull wanaomiliki timu za RB Leipzig na RB Salzburg. Historia yake kwa hawa jamaa inatisha. Tazama 👇 ..

At Red Bull, Rangnick helped oversee their expansion into European football, emphasizing the recruitment of unproven players and developing youth systems with a worldwide scouting base, alongside an attacking on-pitch philosophy across their clubs. As a result, Red Bull clubs rose in market value from €120 million to €1.2 billion during his tenure, with its largest club, RB Leipzig, peaking in value to €270 million in 2019. Their clubs have also seen sustained domestic success and generated sizable profits with player transfers, which led to his promotion to head of sport and development in 2019.He resigned from Red Bull in 2020.

Rangnick invented Gegenpressing, whereby the team, after losing possession, immediately attempts to win back possession, rather than falling back to regroup. His sides have been noted for their pressing and high attacking output, as well as for popularizing zonal marking.

Huyu mwamba Klopp anamkubali sana.

FSG wasichelewe sana. Kwa sana anafanya kazi Urusi klabu ya Locomotive Moscow kama Head Of Sport and Development.

YNWA
 
Future looks bright sanaaa...


Hawa hapa bado sanaaaa...

Allison, Fabinho, TAA, Jones, Konate, Gomez, Jota, Elliott.

Mara pap Bissouma akatua 😂😂😂😂...

Umri wa wachezaji wetu kama ifuatavyo..

Liverpool FC Players And Their Age 2021/22.

#Player & Position Date Of Birth Age (2021)

1 Alisson Oct 2, 1992 28 yrs.

13 Adrian Jan 3, 1987 34yrs

62 Caoimhin Kelleher Nov 23, 1998 22yrs

4 Virgil van Dijk Jul 8, 1991 30yrs

12 Joe Gomez May 23, 1997 23yrs

32 Joel Matip Aug 8, 1991 30yrs

5 Ibrahim Konate May 25, 1999 22yrs

26 Andrew Robertson Mar 11, 1994 27yrs

21 Konstantinos Tsimikas May 12, 1996 25yrs

47 Nathaniel Phillips March 21 1997 24yrs

66 Trent Alexander-Arnold Oct 7, 1998 22yrs

76 Neco Williams Apr 13, 2001 20yrs

3 Fabinho Oct 23, 1993 27yrs

6 Thiago Apr 11, 1991 30yrs

46 Rhys Williams Feb 3, 2001 20yrs

8 Naby Keita Feb 10, 1995 26yrs

14 Jordan Henderson Jun 17, 1990 31yrs

15 Alex Oxlade-Chamberlain Aug 15,
1993 27yrs

67 Harvey Elliott April 4 2003 18yrs

7James Milner Jan 4, 1986 35yrs

17 Curtis Jones Jan 30, 2001 20yrs

10 Sadio Mane Apr 10, 1992 29yrs

20 Diogo Jota Dec 4, 1996 24yrs

18 Takumi Minamino Jan 16, 1995 26yrs

11 Mohamed Salah Jun 15, 1992 29yrs

9 Roberto Firmino Oct 2, 1991 29yrs

27 Divock Origi Apr 18, 1995 26yrs.

84 Conor Bradley July 9 2003 18yrs.

49 Kaide Gordon October 5 2004 16yrs

James Balagizi September 20 2003 18yrs.

80 Tyler Morton 31 October 2002 18yrs.

YNWA


Minamino na keita umri sawa? Mnhh
 
Jordan Henderson could make his 400th appearance for Liverpool tonight.

The captain will become the 27th player to reach that milestone should he be selected against FC Porto in the Champions League.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom