Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Ma Champion wa dunia ipi ndugu Ollachuga Oc 😂😂😂😂😂.Kwa sasa kuifunga Chelsea goli zaidi ya moja mujipange sana.
Chelsea ndio timu pekee itakayokuwa na goli chache za kufungwa msimu huu.
Ninyi na defense yenu na lile shati lenu pale golini basi muna hatari sana ya kuwa na magoli mengi ya kufungwa.
Bwana Ilakiza ngoja nikudokeze kidogo ..sisi ni machampion wa Ulaya na dunia kwa ujumla. Hivyo usifananishe kikosi cha kimataifa na ninyi underdog ..huu msimu mabingwa tushajulikana kitambo kabla hara ligi ijaanza. Ninyi ni wa level ya chini sana kikosi chenu hakuna tena ule ubora wa mwanzo. Undeni timu kisha muje mushindane na wababe wa dunia.
Nenda taratibu usilete uongo hapa. Mna kombe la UCL na Super Cup tu. La dunia hamna.
YNWA
