Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nilichogundua ni kwamba siku FAB3 akiwa shit basi ukuta hata uwe na VVD wa4 huwezi zuia mashambulizi na Magoli
 
Yaani leo two points dropped kizembe ukicheki next game man city kazi ipo
Leo vijana sijui hii gemu waliichukulia powa sana...

Jota hizi kosa kosa zake zinatia hasira. Kwa mechi ya pili anakosa nafasi za wazi kabisa...
Lazima hawa wachezaji wetu waelewe mapema msimu huu ligi ni mchakamchaka....

YNWA
 
Baada ya kuvunja lile daraja uchwara la Stamford bridge ,...

Tunakuja kuchafua atmosphere yote ya anfield

This is our city
 
Yaani leo two points dropped kizembe ukicheki next game man city kazi ipo
Yeah hatukuhitaji haya matokeo kwa kutazama msimamo aisee...

Ukweli ni kwamba against under pressure na direct opponent tutaumia mapema tu..

Klopp has some decision to make pale nyuma aidha he stick with Matip VVD ama Gomez VVD au Konate VVD.

Ushindi wa leo pale darajani dhidi ya Chelsea utakua umewajengea motivation vijana wa Pep kuja Anfield wakiamini hawatoki mikono mitupu aisee..

Over to you Klopp una wiki kuja na majibu gemu ijayo Jumapili 3/10/21. Tutakua nyumbani tunahitaji utulivu.

YNWA
 
kuna uzembe mkubwa sana wa kipa umronekana leo yaani akianguka chini ni mzito kuamka chap ili awe kwenye position ya goli..
mfano goli la pili jinsi tulivyofungwa,
 
Adjustments.jpg
 
Naona Rent Boys baada ya kufukuliwa Darajani na Man City sasahivi wanajifariji kwa kusema eti next week Brighton ndiye atakayeongoza Ligi
league ngumu ,man utd hawajui la kufanya wanatoa macho Kama mjusi alibanwa kwenywe mlango....

Chelsea wamepunguza mdomo ,walifikili watakuwa unbeaten ...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom