Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,533
- 81,264
Maskini, pole. Sasa kojoa ulale kesho shule!Spurs
Jana tuliwaambia hawa kuku wametushikia nafasi wakaanza kuneng'eneka ..sasa ni aibu yao kila mtu ashinde mechi zake.Siyo kufunga tu na ligi tunaongoza
TOT 0 vs Chelsea 3
Na Clean Sheet juu.
Tupo top of the league
Gari limewaka tukutane may .
Muambie na Kepa juuTOT 0 vs Chelsea 3
Na Clean Sheet juu.
Tupo top of the league
Chaliangu hii ligi ukiishindwa msimu huu ni wewe tu. Mimi nipo very objective, Chelsea ndio team ime balance kuliko zote.Gari limewaka tukutane may .
On top of the table ..
London is Blue.
CFC
Boss Spurs sio mzigo, spurs nakumbuka mechi ya mwisho kutufunga ilikuwa 2017 tena baada ya red card ya Mane.Wenzetu chelsea wameanza kupunguza mzigo mdogo mdogo sisi tunaenda kukutana na hatari mbele.
Ongera kwakukiri ukweli ni washabiki wachache wapo kama weweChaliangu hii ligi ukiishindwa msimu huu ni wewe tu. Mimi nipo very objective, Chelsea ndio team ime balance kuliko zote.
This is your season, bottle it and it's shame on you.
Hahahaha hii ligi imeshakwisha muda mbona. Hapa tunakamilisha ratiba tu chali yangu.. niaje lakini wapi iyoo aisee msela yangu unakula maisha tu areefChaliangu hii ligi ukiishindwa msimu huu ni wewe tu. Mimi nipo very objective, Chelsea ndio team ime balance kuliko zote.
This is your season, bottle it and it's shame on you.
Spurs game ya Jana kacheza vizuri kama alivyocheza dhidi ya man city kama umeangalia mpira ila alizidiwa kwasababu kuu mbili mbinu za Tuchel na ubora wa Chelsea kwahiyo sio wepesi kama ulivyosema.Spurs wanapokutana na team kubwa wanajitoa Sana Chelsea ndio amekutana na vigingi kacheza na Aston villa ya moto, liverpool,Spurs, Arsenal na next match anakutana na Man city baada ya hapo atabakiwa na vibonde wengi na kizuri Chelsea wanatumia nafasi vizuri kuzipiga hizi team kubwa.Boss Spurs sio mzigo, spurs nakumbuka mechi ya mwisho kutufunga ilikuwa 2017 tena baada ya red card ya Mane.
Spurs mwepesi sana.
Kwahiyo mkuu Crystal , Leeds unawachukuliaje?? Labda kamahuzifuatilii hiz timu vzr.
Kwamba Arsenal ya moto?Spurs game ya Jana kacheza vizuri kama alivyocheza dhidi ya man city kama umeangalia mpira ila alizidiwa kwasababu kuu mbili mbinu za Tuchel na ubora wa Chelsea kwahiyo sio wepesi kama ulivyosema.Spurs wanapokutana na team kubwa wanajitoa Sana Chelsea ndio amekutana na vigingi kacheza na Aston villa ya moto, liverpool,Spurs, Arsenal na next match anakutana na Man city baada ya hapo atabakiwa na vibonde wengi na kizuri Chelsea wanatumia nafasi vizuri kuzipiga hizi team kubwa.
Wewe utaweza kumpiga spurs wewe? Yani unampiga Norwich halafu unajiona una timu..Boss Spurs sio mzigo, spurs nakumbuka mechi ya mwisho kutufunga ilikuwa 2017 tena baada ya red card ya Mane.
Spurs mwepesi sana.
Kwahiyo mkuu Crystal , Leeds unawachukuliaje?? Labda kamahuzifuatilii hiz timu vzr.
tche tche tche tusikitike ..hapa nayiona Liverpool ikiteketea.
Mimi nipo chaka moja asee kanda ya nyonyo huku.Hahahaha hii ligi imeshakwisha muda mbona. Hapa tunakamilisha ratiba tu chali yangu.. niaje lakini wapi iyoo aisee msela yangu unakula maisha tu areef
Sijui umekula maharage ya wapi?Kitu chengine nimependezwa na kuibuka kwa Arsenal.
Arsenal akiwa kwenye Ubora wake huwa nakuwa na Amani sana akikutana na Chelsea manake Chelsea lazima apigwe
Habari yako.Kila Mtu Ashinde Mechi Zake na Kila Mtu Amuombee Njaa Mpinzani Wake
Kila la Kheri Spurs
Nawashangaa kishenzi hawa kunguni.... Ngoja kwanza tumalizane na City halafu tuje kucheza na hivyo vitimu uchwara aone tutavifanya nn.Unacheza na akina Norwich unasema Klopp anajua