Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

View attachment 1944100

Hahaha hate em like em but Liverpool games are the most viewed in Uk and the world at large even by the neutrals...

Klopp effect at its best...
More viewers means more revenue.

According to insights from global sponsorship, media valuation and data analysts Nielsen, Liverpool are currently the most-watched football team around the world.

In terms of popular team worldwide from UK bado Manchester United lead followed by Liverpool.

YNWA
Halafu kuna watu wanataka SS3 waonyeshe game za Norwich wakati huo huo Liverpool inacheza???? waaache masihara kabisa. Hata ujio wa CR7 hauna athari sana kwa Liverpool
 
Wacheni kulinganisha game za liverpool na vitu vya kijinga,
1631999227629.png

Msimu uliofuata 2019/2020
1631999527510.png

Pia hata msimu huu 2021/2022 Liverpool itaendelea kuongoza
 
Halafu kuna watu wanataka SS3 waonyeshe game za Norwich wakati huo huo Liverpool inacheza???? waaache masihara kabisa. Hata ujio wa CR7 hauna athari sana kwa Liverpool
Hahaha predictions so far ni kwamba Manchester United might reclaim the most watched games pale UK baada ya CR7 kutua anyway by end season haya yote tutajua maana with Liverpool playing this well as we are means we will be challenging for the top honours thus more viewers haha...

Klopp has turned the tables big time man.

This man was made for Liverpool the fans leave alone watching from home do attend games in big numbers mpaka FSG wameshawishika to add more seats to attract big crowds...

If you see how Pep is crying for more noise from the fans pale Ethad mpaka huruma asiee huku Liverpool ni nyomi kama nyomi... Imagine the fans couldn't attend the UCL game as expected pale Ethad and Pep raised the concern...Ethad ni 55,000 seater and yet Pep has never seen anything near full house..

Tutabaki kua kileleni kwa kweli...

YNWA
 
Player ratings vs Crystal Palace.

Liverpool: Alisson (7),
Milner (6),
Van Dijk (7),
Konate (6),
Tsimikas (7),
Thiago (7),
Henderson (7),
Fabinho (7),
Jota (5),
Salah (8),
Mane (7).

Subs
Subs: Keita (7),
Jones (7),
Origi (n/a).
Man of the match Salah.

Essential Readings
Opta facts:
Bogey team run goes on.

Liverpool have won each of their last nine Premier League games against Crystal Palace - only against Bolton have they had a longer winning run in the competition (10 between 2007-2011).
Following their 30 shots against Leeds, and 25 against Crystal Palace today, Liverpool have registered 25+ shots in consecutive league games for the first time since May 2017.

Since the start of last season, Liverpool have scored more goals from corners than any other side in the Premier League (16, including all three strikes today).

Sadio Mané became the 18th different player to score 100 goals in all competitions for Liverpool, with the Senegalese netting more of these against Crystal Palace than any other side (10).

Liverpool's Sadio Mané became the first player in Premier League history to score in nine consecutive appearances against a specific opponent.

Since his debut for Liverpool, Mohamed Salah has racked up 134 goal involvements in the Premier League (99 goals, 35 assists), at least 24 more than any other player.

Source Sky Sports.

YNWA
 
👁️ Augen von Jürgen Klopp.

Moja ya Maneno aliyoyaongea mtaalam Kaiser Jurgen Norbert Klopp wakati akitua Viunga vya Melwood akitoa sifa ya Moja ya msaidizi wake katika Kazi Peter Krawtez.

Augen Ni Neno la kijerumani linalomaanisha Jicho na ndivyo ambavyo Klopp alivyomtambulisha Peter mwenyewe hupenda Muita Pete.

Umeitazama game za msimu huu Kuna kazi kubwa mwamba kaifanya kwa kuiboresha Sana Ni aina na Namna ya Kucheza kwa kushambulia setpiece(Mapigo huru) nazungumzia Kona na Foul haswa hapa kwenye Kona,Wakati msimu wa 2019-2020 Tunanyakua Ubingwa tulikuwa team Bora zaidi katika Eneo la set piece Eneo ambalo ubunifu wa wachzaji unaweza geuza matokeo hata kwa Namna ya kutocheza Kwenye ubora sahihi.

Kitu Kikubwa nilichogundua Leo Ni akili ya upigaji wa kona, ulipokuwa ukiinuka mkono mmoja juu wa either Kostas Tsimikas, James Milner basi uelekeo wa mpira ulikuwa nje kidogo ya 6 yard box kwenda kwa Virgil Van Dijk na Ibou (Konate).

Na wakati mikono miwili ikiinuliwa na wapigaji hao wa mipira yetu iliyokufa basi ilikuwa ni mpira wa kwanza near post (Rejea goli la kwanza na miss ya Diogo Jota) Aina hii ya upigaji Leo imetusaidia kutupa ushindi mzuri na Mnono kwa Kazi nzuri ya Augen Von Klopp(Eye of Jurgen Klopp bwana Pete Krewtzer).

Barbosa 🌐
 
View attachment 1944100

Hahaha hate em like em but Liverpool games are the most viewed in Uk and the world at large even by the neutrals...

Klopp effect at its best...
More viewers means more revenue.

According to insights from global sponsorship, media valuation and data analysts Nielsen, Liverpool are currently the most-watched football team around the world.

In terms of popular team worldwide from UK bado Manchester United lead followed by Liverpool.

YNWA
Jana Mbezi Bar moja maarufu inaitwa KINGACHI tunaangalia mechi kipindi cha kwanza kiivyoisha kuna boya mmoja akapiga kelele kipindi cha pili ionyeshwe game ya Arsenal, wakabadili kweli wakaonyesha game ya Arsenal, dakika 10 nyingi viti vikabaki tupu, watu tulihamia 3ways
 
Duuh ndugu hivi hii Liverpool ya rotation unadhani utaiweza wapiiii....

Sie hatuna cha Mei 2022...tunachukulia mechi baada ya mechi.. Mechi zijazo ni kama ifuatavyo...

We take one game at a time. Hatutaki utabiri huu wa jumla...

Haya kazi kwako na Son alivyo motooo sioni wakumzuia pale.

YNWA
Mkuu liver y rotation ipi? Hamna strong bench mnaweza mkaenda hv vizuri n consistency nzuri je mna wachezaji wa kureplace endapo watakosekana kina mane either Kwa injury, afcon ? N mbeleni huko Mashindano ndo yanashamiri y carabao, n FA......
 
Konate kashika Ndani ya Boksi hapa lakini Refa kapeta.

Huyu jamaa (Konate) ni Lovren mweusi basi sijamuamini
Too quick to judge

Konate is a very young lad playing his first game akiwa na makeshift fullback in the name of Milner

Tuwe fair

We like to hate some players humu, tunarudi kulekule Kwa kukosea akosee jotta, akikosea mane maandamano

Jana tsimikas Made a bad foul kwenye 18 na ingekua penalty… that was worse

Let’s not forget- palace alimpiga totts tatu na wana very powerful and fast forwards
 
Jana Mbezi Bar moja maarufu inaitwa KINGACHI tunaangalia mechi kipindi cha kwanza kiivyoisha kuna boya mmoja akapiga kelele kipindi cha pili ionyeshwe game ya Arsenal, wakabadili kweli wakaonyesha game ya Arsenal, dakika 10 nyingi viti vikabaki tupu, watu tulihamia 3ways
😂😂😂😂😂😂Yaaaani huyu Klopp kweli kaja na mkono wa baraka safi kabisa maana kwa sasa pia mashabiki wengi tumepata aisee...

Wanasema everything that Klopp touches turns to Gold 😂😂😂and who can argue na jana katupia dongo kwa Pep kwamba kucheza Jumatano full house na Jumamosi pia full house inaonyesha vile mashabiki wanajitoa kwa ajili ya timu..

Kwa sasa wengine watulie ni muda wetu kua Super Sport Show Stopper team haha yaaani tupo 223 mazima na UCL tupo 222 haha courtesy of HD kutoka BT Sport na Sky Sport.

YNWA
 
Mkuu liver y rotation ipi? Hamna strong bench mnaweza mkaenda hv vizuri n consistency nzuri je mna wachezaji wa kureplace endapo watakosekana kina mane either Kwa injury, afcon ? N mbeleni huko Mashindano ndo yanashamiri y carabao, n FA......
Bwana wee jana tu ki ukweli niliwaza zile turn on za Zaha kama Milner ataziweza wapi ki ufupi niliona tukipata madhara upande wa Milner.. Kumbe Salah is becoming all round Footballer maana hata defensive duties jana alisaidia sana so so impressed...

Konate was on spot ilukua debut yake pale Anfield na alikua na some dull moments but beside him was VVD so alitoka salama...

Tsimikas well boy has super crossing ability yaaani klosi zake tunakosa a real poacher.... shinda moja tu dogo hana speed, sio mwepesi wa kufanya maamuzi sahihi defensive akiwa kwenye presha na pia position wise pale nyuma inabidi amtazame zaidi Robertson.. Otherwise clean sheet means job well done...

🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿Pale mbele bila Salah na Mane ki ufupi hata sijui itakua aje unless Jota na Origi raise their game to the next level... Jana Jota kakosa a pure gold dust seater yaaaani miss of the week....Salah na Mane to Afcon will affect us big time.. Hopefully Klopp can work magic with Origi na Jota before then.

Kwa sasa injuries zimeanza kurudi kwa kasi tuliona Elliott na jana Thiago. Hopefully ni passing cloud hatuhitaji this kind of scenario msimu huu especially for our main boys Salah, VVD na Allison.

YNWA
 
I like the way Robertson is challenged with Tsimikas.We need this type of competition in almost every position on the pitch...I like both players,no one is yet my favourite between the two..

Kwenye central back still VVD has to play with either Matip/Konate/Gomez...Matip & VVD is good ...Konate &VVD did good yesterday...Matip & Gomez was not good in uefa opener..Gomez & VVD was also good partnership kabla hawajaumia.Hata Philips still anaweza kucheza vizuri tu na VVD ....So still VVD the main man at the back.Anapokosekana yeye, hata tukiwa na solid mid ya Thiago,Milner/Hendo na Fabinho bado backline itakuwa ina makosa mengi.

So far kwenye gem 5 tuna clean sheet 4,magoli 12 na tumefungwa 1...what a start.Na ninadhani tunacreate nafasi nyingi zaidi kuliko msimu uliopita.Our front three is doing better than last season.Wamefunga magoli 10 Kati ya 12 so far...Salah(4), Mane (3),Jota(2),Firmino(1).

Strength yetu nyingine ni our Goalkeeper Alison Becker.Ametoa mipira mwingi ambayo kwa kipa wa kawaida ingekuwa magoli.So far the man is at very good form.
Ngoja tusubiri tuone baada ya mechi 10 tutakuwa wapi....
 
Kuna Carabao vs Norwich wiki hii hopefully Phillips atakua dimbani apate real game time..

Feel good moments huanza pale wachezaji wanaaminiana wenyewe kila mmoja anatekeleza maelekezo ya Kocha na ndio kinafanyika sasa pale Liverpool.. Allison trust his back line, Backline trust Allison, MF trust the Backline, Front boys trust the MFs yaani they feel good now that all the tactics are working as per th training ground instruction....they are playing as a unit and man Liverpool as unit we are unstoppable...

Patience is a very rare virtue in modern games hili Klopp has mastered perfectly hakuna panic mode...

YNWA
 
Kitu chengine nimependezwa na kuibuka kwa Arsenal.
Arsenal akiwa kwenye Ubora wake huwa nakuwa na Amani sana akikutana na Chelsea manake Chelsea lazima apigwe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom