King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,417
- 7,370
Leo mimi nipo spurs aiseeKila Mtu Ashinde Mechi Zake na Kila Mtu Amuombee Njaa Mpinzani Wake
Kila la Kheri Spurs
Unacheza na akina Norwich unasema Klopp anajua
Mi yangu macho tu.Siyo kufunga tu na ligi tunaongoza
TOT 0 vs Chelsea 3
Na Clean Sheet juu.
Tupo top of the league
HahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaasaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaLeo mimi nipo spurs aisee
SpursHahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaasaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Ati uko wapi!?
Kitu chengine nimependezwa na kuibuka kwa Arsenal.
Arsenal akiwa kwenye Ubora wake huwa nakuwa na Amani sana akikutana na Chelsea manake Chelsea lazima apigwe
Kila Mtu Ashinde Mechi Zake na Kila Mtu Amuombee Njaa Mpinzani Wake
Kila la Kheri Spurs
Yaani bingwa wa ulaya asiamini Kama atashinda!?Yaan mashabiki wa chelsea walikuwa wamepotea ndio wamefufuka sijui wameibukia wapi, walikuwa hawaamini kama watashinda![]()
Leo mimi nipo spurs aisee