Mnyakatari
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 2,111
- 1,920
Goli alilokosa Jota angekosa Mane tungeshuhudia post ndefundefu humu...
Jota ni striker wa kawaida sana
Sijawahi kumtofautisha na Paul nongaNakubaliana na wewe
[emoji23][emoji23][emoji23]Washabiki wa Arsenal wanasema gari limewaka wameshaanza Ligi [emoji28]
Kazi nzuri. Bravo1st goal. ManeView attachment 1943754
Thiago mzee wa Pancha
We need a baller Jones kaja kutuliza presha...We r under pressure...
Tunatafutwa balaa.