Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sababu ni hiyo hiyo niliyotoa, TV broadcaster wanajali sana watazamaji. Globally liverpool is one of the EPL team yenye watazamaji wengi tofauti na Man city iliyocheza leo na nadhani pia tofauti na Arsenal hata Chelsea, labda ni Man U tu ndio wamemzidi Liverpool kwa mashabiki globally
Super Sport hua hawana direct coverage ya EPL... Hawa wanachukulia matangazo yao BT sport na some times Sky sport hivyo itakua hii ishu ya Liverpool in HD 223 ni huko huko majuu...

YNWA
 
Agree sir

After one of the draw precursors left the field… tuliscore twice 😝😝😝
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Hahahahahaha

Yaaaaani draw tuwaachie akina Pain killer hukooo na Southampton....

In Klopp and the boys i trust.

Huyu dogo Thiago is careless yaani anajua mwili wake is made of Indian biscuits aafu anakwenda kufany tackles zisizo na macho yaaani...

YNWA
 
Ndugu zangu Wana Liverpool ,,..tusiwe na lawama Sana pale tunapoona kocha kapanga kikosi fulan.....ukakuta Kuna wachezaji ambao huwataki/hiwaaminii.....hili Ni jambo la kochaa...

Kumbukeni ili uwe na kikosi kipana na chenye fitness ya uhakika lazima ufanye rotation kwa wachezajiii....Mimi naamini tunao wachezaj wazur wenye uwezo wa ku fight.
 
Djibril Cisse on Steven Gerrard:

"I will never forget Steven Gerrard’s team-talk at half-time during the 2005 Champions League final.

[Rafa] Benitez comes into the dressing room, he does his coach speech, that we must not give up and that we need to score quickly.

"Steven gets up and asks all the coaching staff to leave the dressing room, because he wanted to be alone with just the players. All the staff left, even the physios who were giving treatment to the players.

"Stevie gets up and says that Liverpool is all he has, it is his club, all he has ever known and he does not want to be the laughing stock of the history of the Champions League.

"He says that if we respect him and love him as a captain, then we need to dust ourselves off and get back in the match.

"He scores the first goal, he gets the penalty. He has an extraordinary second half, finishing the game as a right-back. He has a crazy match – but that half-time speech will remain imprinted in my mind forever."
 
Cafu: "Gary Neville is paid to say a lot of lies on live TV. This is why he always talks. He never won anything big in his life. Who is he, to judge between Messi and Cristiano Ronaldo? Only Ronaldinho, Pele, Platini and Zidane, can judge between these type of players because they were the only ones close to their level if not equal. English people talk too much without winning."

Thoughts?
 
Subiria weekend moja Liverpool awe ana cheza muda mmoja na Man U, utaona mechi ya Liverpool itakuwa 223
Wakati tunachukua ubingwa ilikua hivi in UK1.7 million viewers – Liverpool were the most popular Premier League team among UK TV audiences last season, according to the Broadcasters’ Audience Research Board (BARB). Before the lockdown, their games saw an average TV viewership of 1.7 million people. That is based on average viewership as opposed to peak audience during a broadcast, which is always significantly higher. The Reds ended their 30-year title drought in emphatic fashion last term, finishing 18 points clear of defending champions Man City.

Simple narrative Liverpool has the most viewers in UK.

YNWA
 
Hii timu huu ndio ushindi wa mwisho, kinacho fuata hapo ni vipigo na draw za kutosha.
 
Nimefuatilia sana, mechi za Liverpool huwa zipo 223. Fanya research yako utagundua. Hata zichwezwe mechi 5 kwa wakati mmoja ya Liverpool ni 223
Acha kudanganya watu,hiyo inategemeana na Liverpool inacheza na timu gani kwa siku hiyo.na endapo hakuna big matches baina ya timu zingine.
 
Acha kudanganya watu,hiyo inategemeana na Liverpool inacheza na timu gani kwa siku hiyo.na endapo hakuna big matches baina ya timu zingine.
Sawa msimu wa tatu huu, nafuatilia Boss, na isitoshe msimuu big mechi ya Liverpool ni Chelsea tu, mechi zote mpaka sasa hakuna iliyoonyeshwa nje ya SS3
Mechi za ufunguzi karibia timu kubwa zote zilichezwa, mechi ya Liverpool na Norwich unataka kuniambia ni big metch mpaka ionyeshwe ss3? ni msimu wa tatu nimekuwa nikufuatilia game za Liverpool ss3
Week 1
1631997457821.png
 
Hiyo nafasi hapo umetushikia na kila mtu anajua hilo mkuu. Kesho tunam'bamiza spurs tunapanda kileleni mwa ligi. Kushuka ni may hapo 2022
Duuh ndugu hivi hii Liverpool ya rotation unadhani utaiweza wapiiii....

Sie hatuna cha Mei 2022...tunachukulia mechi baada ya mechi.. Mechi zijazo ni kama ifuatavyo...
EFL Cup tarehe 21/9/21 tunacheza dhidi ya Norwich ugenini.

Epl game ijayo tarehe 25/9/22 tunacheza vs Brentford ugenini..

champions league game ijayo ni tarehe 28/9/21 tunacheza vs Poro ugenini.

We take one game at a time. Hatutaki utabiri huu wa jumla...

Haya kazi kwako na Son alivyo motooo sioni wakumzuia pale.

YNWA
 
Acha kudanganya watu,hiyo inategemeana na Liverpool inacheza na timu gani kwa siku hiyo.na endapo hakuna big matches baina ya timu zingine.
Nadhani na hii inaweza kuwa sababu, japo najua HUPENDI na HUTAKI kukubali UKWELI Fandom for Premier League clubs in the UK 2021 | Statista
1631997755417.png



Labda kidogo ujio wa CR7 unaweza tishia nafasi ya Liverpool lakini sio kwa kiwango kikubwa, CR7 mwenyewe kwa sasa HANA MAAJABU.

1631998367395.png
 
Nadhani na hii inaweza kuwa sababu, japo najua HUPENDI na HUTAKI kukubali UKWELI Fandom for Premier League clubs in the UK 2021 | Statista
View attachment 1944099
Screenshot_20210918_234505_com.android.chrome_edit_101574020509500.jpg


Hahaha hate em like em but Liverpool games are the most viewed in Uk and the world at large even by the neutrals...

Klopp effect at its best...
More viewers means more revenue.

According to insights from global sponsorship, media valuation and data analysts Nielsen, Liverpool are currently the most-watched football team around the world.

In terms of popular team worldwide from UK bado Manchester United lead followed by Liverpool.

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom