Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Pancha ya Kwanza imeanzaaa ......
Wawe wanaosha nyoro basi baada ya kugongwawazee wa kukelaaa ,bila hawa Uzi hautembei
Leeds United vs Liverpool FC
Liverpool attempt On Goal 30, attempt on target 9, Goals scored 3
Mane peke yake 12 and above, goal scored 1
Hongereni sana
Mnamuhitaji striker kama Lukaku
Thanks Numbisa all the time for the videos...1st goal SalahView attachment 1935661
Hahahaha siku hizi Numbisa haposti magoli matamu kama ya chelsea ..magoli Yale unaeza yamezea na ugali kabisa. Salah ana mengi ya kujifunza kwa Lukaku the GreatThanks Numbisa all the time for the videos...
Najua Ollachuga Oc unapita kimya kimya kwenye hizi video za ma goli murwa sanaaaa...
YNWA
Hahahaha siku hizi Numbisa haposti magoli matamu kama ya chelsea ..magoli Yale unaeza yamezea na ugali kabisa. Salah ana mengi ya kujifunza kwa Lukaku the Great
Dah pole sana mkuu hii chuki siyo nzuri mkuu ..mfano Mimi ni mutu ya utani mwingi sana ..au uyipendi tu Chelsea mkuu??Uzi wenu(chelsea) umejaa matusi,dhihaka,kejeli,dharau na bila kusahau matajiri mnaoona vi gif vyangu vinawachafulia uzi wenu
Huu msimu tuna ukiachana na makombe basi tuna hakika na golden glove kwa Mendy, golden boot kwa Lukaku the Great na Pleya of the Iya ..sijui ninyi kuku munategemea nini msimu huu ..ninyi ni underdog msimu huu..Lukaku mmepigwa nyie Ze blauzi FC
Dah pole sana mkuu hii chuki siyo nzuri mkuu ..mfano Mimi ni mutu ya utani mwingi sana ..au uyipendi tu Chelsea mkuu??
Nazipenda timu zote ila pengine pote sijawahi kushambuliwa kama kule chelsea. Huwa ninaweka magoli ya timu husika bila kuleta ushabiki. Mfano humu siwezi wawekea magoli waliyofungwa au ya wapinzani wao ambao hawajacheza nao ila wakafungwa na timu nyingine.
Hio siku man u walifungwa na timu moja hivi mfungaji alikua mchezaji wa zamani wa chelsea. Nikakuta mention wakitaka gif nikajibu siwezi leta gif maana sio mechi baina ya chelsea uwiii mvua za kweli zikamiminika,nikawaachia jukwaa lenu.
Dah pole sana mkuu kwa upande wangu Mimi nazimiss sana zile gif zako kwanza hazikwami kwami. Ila pole sana kwa maswahiba hayo ngoja tule jeuri yetu.Nazipenda timu zote ila pengine pote sijawahi kushambuliwa kama kule chelsea. Huwa ninaweka magoli ya timu husika bila kuleta ushabiki. Mfano humu siwezi wawekea magoli waliyofungwa au ya wapinzani wao ambao hawajacheza nao ila wakafungwa na timu nyingine.
Hio siku man u walifungwa na timu moja hivi mfungaji alikua mchezaji wa zamani wa chelsea. Nikakuta mention wakitaka gif nikajibu siwezi leta gif maana sio mechi baina ya chelsea uwiii mvua za kweli zikamiminika,nikawaachia jukwaa lenu.
Tulia wewe angalia leo tunamywa zenet ndo uje useme hapa nani amekutuma.Ule uzi we ze blauzi umejaa watoto wa juzi usijisumbuwe nao