Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Toa gudu lako hapa sie vijukuu vya mtume unavyotuombea mambaya sie haoooo ushindi kama ushindi...Came on Leeds United ..nyie ni wanaume pigeni hizi mama
YNWA
Toa gudu lako hapa sie vijukuu vya mtume unavyotuombea mambaya sie haoooo ushindi kama ushindi...Came on Leeds United ..nyie ni wanaume pigeni hizi mama
Jurgen Klopp has revealed that Liverpool midfielder Harvey Elliott was taken to hospital after suffering a horror ankle injury during the Reds' 3-0 victory over Leeds United on Sunday afternoon. The teenager's ankle turned following a tackle by Pascal Struijk, who was sent off for the challenge.Any updates on Elliot injury...?
Kavunjika au?
Every season wonder ...the Egyptian kingSalah joins 100 EPL goals club Hahaha...
Great day.
Top. Top player.
YNWA

Supu kama supu....
Numbisa ebu mletee mkuu ryana fan video za magoli aone namna ambavyo vijana walivyo pambana asichane mkeka..
YNWA



Kuna timu imeshnda 3-0 hapo elland road wala haina kelele mingi...Come on Leeds United..
Piga ukuni wa kutosha hizi kuku..
We need a new strikerHii finishing ikiwa clinical zaidi ninaamin huu msimu tutawakimbiza sana tena sana.
Wakuu hawa mashoga tunawaondoaje humu?Hii liverkuku hii?? Ubingwa gani kwanza munataka nyie takataka..!?
Anapania sanaMane sijui kapatwa na nini
Wakuu hawa mashoga tunawaondoaje humu?
wanatia najisi tu


wazee wa kukelaaa ,bila hawa Uzi hautembeiMnawapiga wavimba macho ngoja mkutane na arse8 mtapigwa mchakae.Kuna timu imeshnda 3-0 hapo elland road wala haina kelele mingi...
Ni party ya kimyakimya tu...
Muhudumu lete castle lager kimya kimya...
Liverpool wanacheza style ya mchwa...wanakula kimyakimya unashangaa paa limedondoka...hahagahagahahahaha
Elliot get well soon
Michawi mingine bana ..kama inauma chomoa hahahaWakuu hawa mashoga tunawaondoaje humu?
wanatia unajisi
Hawa kuku na wao wa nataka ubingwa ..wanaijua arsenal hawajaifunga hata arse8 au timu ndogo tu kama city halafu eti wa nataka ubingwa. Labda ubingwa wa mabandani hahahahawazee wa kukelaaa ,bila hawa Uzi hautembei
Tatizo stahawazee wa kukelaaa ,bila hawa Uzi hautembei
Patson was the target but then Edwards couldn't sell Origi and here we are same old same old situation...We need a new striker
zile chances zetu ni nyingi mno Kwa any other epl striker kukosa kosa
😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥Jumatatu njema ndugu yangu mapema unakula supu matata sana kwa hisani ya Majogoo wa Jiji 😂😂😂...Mkuu tayari mzigo umesoma. Hongereni kwa ushindi pia ahsanteni kwa kunipa hela ya supu kesho jumatatu inaanza murua kabisaa.![]()
Umri mdogo wachezaji wanapona haraka SanaNiliweka Matumaini makubwa sana kwa Elliot lakini kwa injury aliyoipata sijui kama atarudi kama alivyokuwa.
Hapana dg ana kipaji na umri wake Ni mdg....pili jeraha alilo lipata Ni la Ankle...so litawahi kupona.....ingekua Goti hapo ingekua shidaaa....Niliweka Matumaini makubwa sana kwa Elliot lakini kwa injury aliyoipata sijui kama atarudi kama alivyokuwa.