Safari bado sana.Klopp as always kwenye sub sifuri
Hahaha Doc relax man kuna mechi 35 epl hivyo ana nafasi ya kufanya vyema mechi zijazo.Klopp is stupid sometimes
Stupid and arrogant
Ni kesho sio mbali ndugu.
YNWA
Naona kimtindo mumetusachi japo penati imewabebaNi kesho sio mbali ndugu.
YNWA
Check hili takatakaHawa wahuni itafaa tuwachape ili washike adabu zao....hivi ni lini chel5 walifanyika watani wa Liver?!😟😟😟
YNWA.
Yani kama siyo red card tungewanywa hapo kwenu hii game huyu refaree aliyoichezesha ni mamluki huwa ayipendi Chelsea muna bahati sana kuku nyieTujiandae OllaChuga Oc atakuja na visingizio vya Red card all in all kipigo ni kipigo tu
Amezngua mnoooHahaha Doc relax man kuna mechi 35 epl hivyo ana nafasi ya kufanya vyema mechi zijazo.
We failed today we live to fight another day that is Liverpool.
YNWA
Tena sana kama ni fainali Hapa tu amweka Kepa mapema tu penati hapo tunabeba kombe..Kwa mtindo huu, hii mechi tunadroo! Aibu sana!
Nyie kwa sasa jengeni timu ..hii EPL hadi sasa ishatua darajani.Liverpool hatuna ball carriers na hili ni pigo kabisa...
How did we fail to extend Chelsea wakiwa pungufu and wait for the perfect opportunity.
Klopp kwa kweli leo ametuangusha hizi sub zake kind of didn't click.
Well ni match ya 3 hivyo kuna muda wa kutosha kuweka mambo sawa.
Over to you Klopp this is Anfield we go for wins not draws...
YNWA
Bwana wee ukiwa nyumbani na mgeni yupo pungufu hii ilitakiwa uvumilivu wachezaji watanue uwanja huku pass ya mwisho ikiwa ya uhakika sio haya ya leo.
Hongera kwa Chelsea kila mchezaji leo baada ya kadi amesimama na kile alichosema mwalimu..
We need dribblers, direct players mchezaji kama Bissouma, Neto, Bowen na accurate shooters kama Pellegrini bila hivyo sioni huu msimu tukiwa salama.
23 shots on goal na 8 on targets do tell the old scary scenario might be coming back.
Elliott is one for the future give him some minutes aafu weka benchi...
Klopp leo sielewi ile kadi ni kama ilmvuruga..
Good stuff ni kwamba VVD na Matip wamerudi being the best combination pale nyuma.
YNWA
Mpaka karibia na HT ni MAne peke yake aliweza kugusa mpira ndani ya final third ya Chelsea au Opposition Box, wengine wote akili iligota. Baada ya Red card na sisi tukaamua kujilinda zaidi ya kushambulia ndipo mkapata nafasi ya kutusogelea kwetumane kwakweli amechoka, big up kwa Elliot anazidi kupata uzoefu, klopp yupo rigid sana kufanya sub , imeuma sana kuzikosa point 3
Shots 23 afu unasema tulikua tunalindaMpaka karibia na HT ni MAne peke yake aliweza kugusa mpira ndani ya final third ya Chelsea au Opposition Box, wengine wote akili iligota. Baada ya Red card na sisi tukaamua kujilinda zaidi ya kushambulia ndipo mkapata nafasi ya kutusogelea kwetu
Final third ya Chelsea huwa ni eneo takatifu, matakataka hayaruhusiwi kuweka mgu hapo
Je hizo shots zilikuwa na hatari yoyote au ndio ilimradi tuShots 23 afu unasema tulikua tunalinda
@Captain Marvelous anaweza sifia, the guy huwa ni kops na smtime huwa anaweka ushabiki pemben na kuongea mpira,Ukweli usemwe japokuwa unauma, najua hakuna shabiki wa Liverpool atakayeisifia Chelsea ilivyocheza leo ila tumewaonyesha ushindani mkubwa tukiwa pungufu na tumecheza vizuri sana ingekuwa sio ile card bc tungeongea mambo mengine hapa. Pia asanteni kwa kumpa Mendy card
Mbona mnalalamikia sana penalty ambayo ni halali kabisa?! Kwani tulimtuma huyo dogo wenu akadake mpira?!Mkuu vip hapo. Kama pamoja na Red card ya dk 45 lakini umeshindwa kuifunga Chelsea unategemea kuifunga lini?![]()