mriringa
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 783
- 835
Ningeshangaa kama refa angewanyima penalt livaPenalt
Ningeshangaa kama refa angewanyima penalt livaPenalt
I said before the game that it would be a blockbuster and it REALLY has already lived up to that hype so farI have a feeling tonight we are going to be treated to a high-octane showpiece from our boys. An absolute blockbuster!
Come on, Reds!!
Nibalaa na chelsea wakishangaa watakula redcard we waache tuMatch Ina Joto Hiii
Liverpool hata bila ya red card angeshinda. Tume control game absolutely!Liverpool ni tim yangu ila hawa chelsea ni hatari sana bila hiyo Redcard kuwapiga ningum, hayo nimawazo yangu tu.
But Henderson anatuumiza kichwa sana sijui anacheza manini tu.Liverpool hata bila ya red card angeshinda. Tume control game absolutely!
Liverpool ni tim yangu ila hawa chelsea ni hatari sana bila hiyo Redcard kuwapiga ningum, hayo nimawazo yangu tu.
Naangalia aisee naachaje? But wanatudhibiti sana jamaa hasa foward zetu.Nadhani unafuatilia hii game lakini huangalii ndiyomana unasema hivyo
ExactlySasa ni muda wa Klopp kumuamini JOTA mbele ya Firmino
Naangalia aisee naachaje? But wanatudhibiti sana jamaa hasa foward zetu.
Kabisa second half anatakiwa amtoe Henderson.Chelsea wamekuwa wazuri kwenye counter attacks...
Elliott ni Mzuri sana... Ila Klop amtoe Henderson amuweke Thiago..