Vipi mmeshinda?Tujiandae OllaChuga Oc atakuja na visingizio vya Red card all in all kipigo ni kipigo tu
Tumeshinda njaa mkuuVipi mmeshinda?
Hata hivyo RED card imewaokoa na maangamiziTujiandae OllaChuga Oc atakuja na visingizio vya Red card all in all kipigo ni kipigo tu
Oyaaa majogoo nipigieni zile pimbi za blues za pale darajan kudadekii ..
ili weekend iishe vizuriii ....
Pachiken ukuni kipindi cha pili



Huyu kocho mpendeni tu ila nnashaka na ufundi wake mara nyingi anakariri tu2 points lost. Was a winnable game with 10 men.
Fabinho na Robertson bado kimchezo kabisa. They were the weak areas we lacked a clear edge.
This shows bado tunahitaji usajili wa kupenyeza last passes.
Chelsea in a different class from whats we have faced in recent seasons.
Haya fellow kops tukutane Elland Road vs Leeds 12/9/2 baada ya International.
YNWA
Tunaenda kuwaweka hawa wavuta bangi wa London mahali pao....
Piga kabisa!




MwakampyaMkuu vip hapo. Kama pamoja na Red card ya dk 45 lakini umeshindwa kuifunga Chelsea unategemea kuifunga lini?![]()
Hii defense mliyoiona ndio imetupa UCL na itatupa EPL mwaka huu
Mlidhani tulipata ubingwa kwa kubahatisha, waulizeni Man city na PEP, mbinu ziliwaishia kwenye final third
Kweli tumeona mkuu hongereniTujiandae OllaChuga Oc atakuja na visingizio vya Red card all in all kipigo ni kipigo tu

Bwana wee ukiwa nyumbani na mgeni yupo pungufu hii ilitakiwa uvumilivu wachezaji watanue uwanja huku pass ya mwisho ikiwa ya uhakika sio haya ya leo.Huyu kocho mpendeni tu ila nnashaka na ufundi wake mara nyingi anakariri tu
Iweje ungize beki huku unatafuta ushindi na wapinzani wapo pungufu?
Yani tayali Elliot keshakua tegemezi wakumaliza 90 huku Keita na mwenzie wapo benchi kweli?
Chelsea Baba laooChelsea ya sasa hata ikiipa red card uwezi ifunga bila penalti![]()
Sema Chelsea baba lao
Bwana wee ukiwa nyumbani na mgeni yupo pungufu hii ilitakiwa uvumilivu wachezaji watanue uwanja huku pass ya mwisho ikiwa ya uhakika sio haya ya leo.
Hongera kwa Chelsea kila mchezaji leo baada ya kadi amesimama na kile alichosema mwalimu..
We need dribblers, direct players mchezaji kama Bissouma, Neto, Bowen na accurate shooters kama Pellegrini bila hivyo sioni huu msimu tukiwa salama.
23 shots on goal na 8 on targets do tell the old scary scenario might be coming back.
Elliott is one for the future give him some minutes aafu weka benchi...
Klopp leo sielewi ile kadi ni kama ilmvuruga..
Good stuff ni kwamba VVD na Matip wamerudi being the best combination pale nyuma.
YNWA
Kachoka aisee dah! Mm katoto kalikuwa kananivuta vuta nikataka nikalambe kibaomane kwakweli amechoka, big up kwa Elliot anazidi kupata uzoefu, klopp yupo rigid sana kufanya sub , imeuma sana kuzikosa point 3

