BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 5,913
- 11,730
Kunywa maji meng moyo uelee usije ukashindwa kuona unavyo pachikiwa mipepe na JOTATunaleta msiba humu ndani leo.
Kunywa maji meng moyo uelee usije ukashindwa kuona unavyo pachikiwa mipepe na JOTATunaleta msiba humu ndani leo.
NdiooooooooHeloo Doc.
Leo ndio leo.
YNWA
Kwan huo ni uchezaji WA Chelsea ?Tokea lini ukatuona tunacheza Kwa kufunguka km Leeds....na nyie kuweni makini na high line defense yenu otherwise mtasulubiwa na bolingoli n wernerTuchel lazima akae nyuma hana ujanja otherwise disaster will greet him today at old fortress AN FIELD..
CR7 to city ...
Mkija etihad nyie kuku mtajuta kuingia uwanjan ...
Ni kuwapiga kipigo cha mbwa koko ...
Niko hapa runingani nawasubiri!19:30 kama vile inachelewa au mnaonaje nyie livanyeto
Ndio utajua leo sasaHawa wahuni itafaa tuwachape ili washike adabu zao....hivi ni lini chel5 walifanyika watani wa Liver?!😟😟😟
YNWA.