OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Lukaku hakupata game time nzuri kama Salah ila kwa sasa tutatembeza kichapo hadi mshangae kwa sasa tunatangaza Kampeni inayoitwa "KAMPENI YA USHINDI DHIDI YA LIVERPOOL"Ishu sio misimu mingapi ishu ni kuwa hakuna mtu aliyeweza isipokuwa yeye tu, pia salah ana golden boot epl zaidi ya moja kwa mechi 150 tu wakati lukaku ana mechi 250 hajaambulia hata sox
Hii ni kampeni mahususi ya kuhakikisha tunapata ushindi mapema kabla hata mechi ijaanza.
Hivyo ninyi livakuku jiandaeni tunaenda kuwala wazima wazima haina haja hata ya kuwachinja ni mwendo wa kutembeza kipigo kisha jikoni tunawala na manyoya hivyo hivyo.
CFC

