Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu salama? Hivi huyu Sarr ni yule wa watford? Kama ndie mnamkuza sana.
Embu tuachane na soko la ndani(pale england) twende tukatafute nje ya uk. France, german kuna wachezaji wenye viwango vya juu na bei ni rafiki kabisa..
German napo sio haba.
Salama kabisa Mkuu.

Huyu dogo wala hatumkuzi tetesi ni kwamba Klopp rate the boy very highly aisee ni ngumu kuelewa anachokiona.

Pengine kama alivyo mpoint Mane au Robertson na wakaja kua Kops favourite ndio na huyu dogo nae anampango nae.

Binafsi ingekua bora tumpate Bowen aisee ana mishee zaidi ni team worker zaidi anatufaa sana uchezaji wetu.

Kingine hao wa bei chee nje ya Uingereza nao ni kamali inaweza kua yes au no mfano watazame Keita na Taikumi.

Anyway muda utasema.

YNWA
 
Origi nae wamtafutie team fasta hata £10M
kwani tuna jambo letu kabla ya 31/8/2021
Origi wanakomaa wapate ofa ya £15m plus ndio mtihani ulipo hapo kaka.

Ngoja tuone siku zinakwenda mbio sana.

Kama vipi tumpate Bowen wamchukue Origi.
Au tumpate Traore tuwape Origi.

YNWA
 
Hii timu aiwez kufanya biashara mkuu ..ukimuondoa Torres, Coutihno na Suarez labda na sterling kuna mchezaji aliyewahi kuuzwa kwa bei ghali zaidi ya hao tu? jumla ya wachezaji waliyouza hawa kuku msimu huu thamani yao wote ni pound 42M. Wakati hiyo ni thamani ya mauzo ya Tammy tu..kikosi B cha Liverpool hakinunuliki wachezaji wake hawauziki popote pale labda wawatoe Kwa mkopo uko..
Jürgen Klopp sold 58 players for £448,100,000 hio kuanzia Juni 2016.

Ebu tuletee Chelsea mmeuza bei gani kuanzia 2016 mpaka sasa.

YNWA
 
Licha ya hivyo mbona mmezidiwa makombe na liverpool,maana kama wachezaji wao hawauziki maana yake hawana uwezo,sasa mbona ndio wamechukua makombe mengi vipi wewe mwenye kuuza wachezaji kwa gharama kubwa kwamba wanauwezo vipi umezidiwa makombe na liverpool yenye wachezaji wasionunulika?.
Hao wamechukua makombe mengi yapi Mzee? Toka hii milenia mpya ya uwekezaji WA pesa nyingi Chelsea ndo inaongoza kuchukua makombe mengi chief
 
Ni miaka kumi sasa hakuna mchezaji wa chelsea ayepata golden boot halafu mtuambie salah ilikuwa failed project, sasa hizo project ambazo hazikufeli mbona hazikuvaa boot?
Sisi kupata golden boot ni suala la muda tu mkuu ..sisi kwa sasa tunakusanya makombe tu.
Licha ya hivyo mbona mmezidiwa makombe na liverpool,maana kama wachezaji wao hawauziki maana yake hawana uwezo,sasa mbona ndio wamechukua makombe mengi vipi wewe mwenye kuuza wachezaji kwa gharama kubwa kwamba wanauwezo vipi umezidiwa makombe na liverpool yenye wachezaji wasionunulika?.
Hapa tu naangalia biashara nje ya uwanja mkuu ..hii Liverpool Ina wachezaji wa jioni tu bei chee ..hata hiyo first XI yenu kuna wachezaji wananunulika kwa pound mil 10 tu
Licha ya hivyo mbona mmezidiwa makombe na liverpool,maana kama wachezaji wao hawauziki maana yake hawana uwezo,sasa mbona ndio wamechukua makombe mengi vipi wewe mwenye kuuza wachezaji kwa gharama kubwa kwamba wanauwezo vipi umezidiwa makombe na liverpool yenye wachezaji wasionunulika?.
 
Hao wamechukua makombe mengi yapi Mzee? Toka hii milenia mpya ya uwekezaji WA pesa nyingi Chelsea ndo inaongoza kuchukua makombe mengi chief
Hawa kuku wanajitoa ufahamu mkuu. Sisi kila msimu tuna wastani wa kubeba kombe moja hawa takataka wanakaa misimu minne wajenge timu kwanza ndo wake wabebe kombe..

Hapa sasa tuna hesabu misimu minne mbele ndo wabebe tena kombe.
Wengi waliozaliwa 95 hapa madogo wa juzi tu mamluki juzi ndo wameshuhudia timu yao ikibeba kombe ..tofauti na hapo wameona you tube tu
 
Jürgen Klopp sold 58 players for £448,100,000 hio kuanzia Juni 2016.

Ebu tuletee Chelsea mmeuza bei gani kuanzia 2016 mpaka sasa.

YNWA
Sasa mkuu tukikutajia figure hapa si utachanganyikiwa?? Toka 2016 mbona mbali sana msimu wa mwaka Jana na juzi hapo japo tumespend lakini tuliuza balaa..
Hii Liverpool inabidi ikapate lecture kwa Marina namna ya kubrand wachezaji wenu wanunulike ..

CFC
 
Mashabiki wa Chelsea ...mnajitoaga ufaham sanaa...hivi mnajua Kama Liverpool ...ndo Tim epl nzima inatumia gharama kiasi kidg kulinganisha na mafanikio yao...,...wananunua wachezaji world class kwa gharama ndogo....mfano....unaweza mlinganisha jota na Kai...au wener!?

Angalia uwezo wao....jota kila game ana score
 
Hahahaha sasa wewe mkuu hivi kweli unamlinganisha huyo takataka Jota na Kai?? Unaona kazi ya Kai ni ya kitoto?? Huyu Jota kama angekuwa Chelsea basi angesugua sana maana hana tofauti na Tammy ambaye tumemuuza. Kai kaleta uefa kachangia tunepata Europa. Huyo jota atasubiri sana sisi tuna spend na tunaleta makombe nyie endeleeni kubana matumizi mjenge timu baada ya misimu minne ndo muje mubebe kombe lolote ..approach ya Chelsea ni ngumu sana hakuna timu yeyote unaeza IGA. Ndio maana kocha akizingua achekewi ..
 
Andy follows fellow Kops Favourite to add more years at Anfield...

Andrew Robertson has signed a new contract with Liverpool which runs until the summer of 2026.

The 27-year-old has missed a total of just four games since joining the Reds from Hull City for £8m in 2017 and started all 38 Premier League games last season.

YNWA
 
Hahahaha sasa wewe mkuu hivi kweli unamlinganisha huyo takataka Jota na Kai?? Unaona kazi ya Kai ni ya kitoto?? Huyu Jota kama angekuwa Chelsea basi angesugua sana maana hana tofauti na Tammy ambaye tumemuuza. Kai kaleta uefa kachangia tunepata Europa. Huyo jota atasubiri sana sisi tuna spend na tunaleta makombe nyie endeleeni kubana matumizi mjenge timu baada ya misimu minne ndo muje mubebe kombe lolote ..approach ya Chelsea ni ngumu sana hakuna timu yeyote unaeza IGA. Ndio maana kocha akizingua achekewi ..
Jota sio takatakaa...matusi sio uungwana...hoja ndo kila kitu...
Huwezi ...mpima Kai kwa goli moja la UEFA...ingekua ivo Basi huyo Kai huwezi mlinganisha na Origi...maana origi alitoa mchango mkubwa kwa Liverpool kupata UEFA....

Hivi kwa lineup ya Chelsea...Ni mchezaji gan ata break na kuingia kwenye first eleven ya Liverpool ukimtoa ngolo!?
 
Mkuu unaleta utani haupo makini ..hii liverpool first XI haieleweki unakuja kufananisha na timu zenye hadhi kama Chelsea??? Je huyiogopi Chelsea??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom