Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wewe huoni Torres alipata mafanikio makubwa alivyokuja darajani..! Uefa, Europa, ligi, Torres angestaafu kama Gerald bila kubeba EPL ..hii Liverpool ita struggle miaka 30 tena kuja kunyanyua EPL tena.
Tukishamnywa arse8 jiandaeni nyie kuku..
Chelsea ilakaa miaka 54 ndio ikaja kubeba epl sasa hapo ajabu nini?
 
Mkuu ni mapema sana kujiamini na akina Burnley maana safari bado ndefu mnaeza anza mkashinda hata mechi kumi lakini bingwa akawa hata Leicester uko ..mfano gemu ijayo mko na Chelsea. Tutegemee nini? Najua mna mawazo ya kushinda lakini lolote laweza kutokea mkaangukia pua.
Tukishamnywa Leo arse8 basi na ninyi mjikoroge tuje kuwanywa.
CFC
Duuh sijasema nachukua ubingwa mbali nina imani tunaleta ushindani kwenye EPL..
Nimeona mengi mazuri kwenye hizi mechi.

YNWA
 
Na nyie chelwowo mtakataa miaka 50 tena bila EPL tunaenda mwaka wa tano huu bilabila
Wewe huoni Torres alipata mafanikio makubwa alivyokuja darajani..! Uefa, Europa, ligi, Torres angestaafu kama Gerald bila kubeba EPL ..hii Liverpool ita struggle miaka 30 tena kuja kunyanyua EPL tena.
Tukishamnywa arse8 jiandaeni nyie kuku..
 
Na nyie chelwowo mtakataa miaka 50 tena bila EPL tunaenda mwaka wa tano huu bilabila
Sisi kwa sasa tuna piga back to back uefa. At least tukibeba kama uefa sita hivi ndo ligi hata tatu basi tuanze tena kuuza wachezaji na kununua vifaa vyingine ili kuendelea mzunguko wa kubeba makombe.
CFC
 
Manure bhana! Walifurahia goli 5 wakajiona ndiyo tayari wanaenda kubeba bingwa hatimae leo wameshindwa kufurukuta
 
At least wewe upo tofauti kidog unaonesha wewe ni shabiki mkomavu wa Liverpool ila hawa vifaranga wengine wao wanaina ligi ishaisha kwa mechi mbili tu.
Epl hua haichezwa kwenye mitadao ama keyboard worriers...

Ni ligi ngumu sana ki ufupi mpaka sasa iko open haina mwenyewe.. mambo yataanza kujiseti January 2022....

Kwa sasa tuenjoi burudani jamani..

YNWA
 
At least wewe upo tofauti kidog unaonesha wewe ni shabiki mkomavu wa Liverpool ila hawa vifaranga wengine wao wanaina ligi ishaisha kwa mechi mbili tu.
Wao na wewe nani kifaranga?wao wanaodai watachukua ubingwa kwa mechi hizo mbili na wewe unayesema utachukua ubingwa wa uefa kwa Mara nyingine wakati hata mechi moja hujacheza....HASHISHI SIYO NZURI KWAKO
 
Naona leo Lukaku kaanza na moto .....

Arsenal ki ufupi wana safari ndefu sana kurejea ubora wao.

YNWA

Yeah katupia tho nilitamani afunge hata mbili ivi.🤪🤪🤪. But siyo mbaya. Arsenal ni timu kubwa lakini hawajiewi kwenye usajili. Epl huwezi chezesha watoto then umpe Saka majumu makubwa kubeba timu.

Saka ni mzuri lakini bado anahitaji msaada. Wacha wapambane na hali zao walituzarau sana leo uteja umeisha rasmi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom