ryana fan
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 2,632
- 3,056
Epl hua haichezwa kwenye mitadao ama keyboard worriers...
Ni ligi ngumu sana ki ufupi mpaka sasa iko open haina mwenyewe.. mambo yataanza kujiseti January 2022....
Kwa sasa tuenjoi burudani jamani..
YNWA
Kabisa mkuu. Na ndiyo maana bakubaliana na mtazamo wako humu huma papara.
Kwenye gemu kila timu inaingia na lengo la kupata ushindi na point 3. Lakini malengo yanaaribika uwanjani baada ya timu pinzani kumzidi nyingine mbinu.
Tuendelee kupata burudani Chelseaa 4 reva


BREAKING: Liverpool have agreed a fee of £9.5m with Lyon for Xherdan Shaqiri. (The Times)


