So we have our own Foden, Mason, Saka, Grealish Hahaha in the making here and boy he is just 18...here comes Elliott the boy...
Kwenye mechi ya Burnley ni mchezaji aliechezewa faulo nyingi zaidi kuliko wengine...
Kwa umri huu wa dogo na kubadilishwa kutoka winga mpaka kua MF inaonyesha kukomaa kwake na imani kubwa Klopp kumwamini huku benchi ikiwa na established players..
Kwenye mechi ya Jumamosi niliona mengi mazuri..
VVD rasmi sasa anaelekea kurudisha makali yake defence na pia ile pasi yake kwenda kwa Eliott na ikazaa goli la pili was fantastic..
Matip huyu mwamba hanaga papara aisee yaani no panic mode. Ishu sasa kukaa fully fit ndio tatizo. Asipoumia kwenye gemu utasikia mazoezini.. May the Angels guard him all the time.
Allison is cool ila yale ma over confidence yake yamerejea upyaaaaaaa yaaani. Klopp itabidi aseme nae jambo.
Front 3 kuna haja ya walimu kuwaambia team win is more sweet kuliko individual accolades.
Tsimikas woow what a foot to cross the ball... Huyu dogo sio Robertson hivyo ana yake mazuri na pia ana mapungufu yupo slow kimtindo na slow decision making lakini ndio gemu ya pili anacheza EPL in starting capacity hivyo sishangai.
Trent maklosi haha yamerejea.. KDB ajitazame huyu dogo msimu huu analitaka taji la most assist kwenye EPL mpaka UCl.
Sasa tukutane Darajani. The ready team will have the last laugh.
YNWA