King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,417
- 7,370
Sema ushindi umekuwa mwembamba nilitaka hata 4 au 5 hivi
Tungelifunga goli 4 au 5 ungelisema ulitaka hata 8 au 10 😂😂😂
Sema ushindi umekuwa mwembamba nilitaka hata 4 au 5 hivi
THIAGO vp boss?Kama kuprove ubora wake Keita basi ni msimu huu kwani nafasi ya GINI imekuwa favoured kwake hivyo anapaswa kuipigania kwa juhudi zote ili ibakie kwake na ajiepushe na injuries za muda mrefu.
KEITA - FABINHO - HENDO nadhani ndiyo combo yetu rasmi ya msimu huu.
Jones
OX
Elliot
Milner
Watakuwa squad players kuprovide backup pale itakapohitajika.
THIAGO vp boss?
Tungelifunga goli 4 au 5 ungelisema ulitaka hata 8 au 10![]()

Drogba alifunga goli 31 wewe kukuLukaku rekodi yake ni kumaliza wapili nyuma ya wenzie wakati rekodi ya salah ni kufunga goli 32 kwa msumu kwa mechi 38 ambayo toka epl ianzishwe hakuna aliyeweza,
Unaandika huu upuuzi ukiwa na kanga moja iliyolowa au ukiwa mtupu? Umesahau jinsi Gerald alivyotekeza tukawala kichwa japo lengo lenu lilikuwa nyumbu asibebe ubingwa.Chelsea sio wa kumtisha liver kivile, liver ilishawahi mpiga chelsea goli mbili ndani ya dakika 1
Mkuu ni mapema sana kujiamini na akina Burnley maana safari bado ndefu mnaeza anza mkashinda hata mechi kumi lakini bingwa akawa hata Leicester uko ..mfano gemu ijayo mko na Chelsea. Tutegemee nini? Najua mna mawazo ya kushinda lakini lolote laweza kutokea mkaangukia pua.Yaaani kwa namna vijana walivyocheza nina imani kubwa mechi ijayo vs Les Blues itakua full cracker yaaani burudani kama zote...
YNWA
Wewe ndio umeandika ukiwa umevaa shanga unajipitisha kwenye uzi wa wanaume, torres hakuwapiga mbili within a minute ndio kisa cha kumnunua?Unaandika huu upuuzi ukiwa na kanga moja iliyolowa au ukiwa mtupu? Umesahau jinsi Gerald alivyotekeza tukawala kichwa japo lengo lenu lilikuwa nyumbu asibebe ubingwa.
CFC
Sasa umeambiwa salah an a rekodi ya goli 32 we unamtaja drogba kwa goli sake 31..au hukuelewa?Drogba alifunga goli 31 wewe kuku
Mimi nazungumzia 32 boya wewe au hujui kusoma?Drogba alifunga goli 31 wewe kuku
Chizi huyo achana naeSasa umeambiwa salah an a rekodi ya goli 32 we unamtaja drogba kwa goli sake 31..au hukuelewa?
Izo msimu huu lukaku anafikisha na zaidi ..hizo 32 goli chache sana..Mimi nazungumzia 32 boya wewe au hujui kusoma?
Wewe huoni Torres alipata mafanikio makubwa alivyokuja darajani..! Uefa, Europa, ligi, Torres angestaafu kama Gerald bila kubeba EPL ..hii Liverpool ita struggle miaka 30 tena kuja kunyanyua EPL tena.Wewe ndio umeandika ukiwa umevaa shanga unajipitisha kwenye uzi wa wanaume, torres hakuwapiga mbili within a minute ndio kisa cha kumnunua?
Huyo salah matapishi yetu kafunga hizo goli 32 misimu mingapi?Sasa umeambiwa salah an a rekodi ya goli 32 we unamtaja drogba kwa goli sake 31..au hukuelewa?