Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kama usajili ndiyo kuchukua Kombe basi Chelsea, Manure na Man City wachague moja! Either Kombe waligawe vipande 3 kila Timu ichukue cha kwake au kila Timu ipewe kombe lake kwasababu wote wamesajili.
 
Tumeshasikia kejeli nyingi kwa kutokusaini but kila anaetoa Kejeli ndiyo atamaliza msimu na furaha? Tukumbuke kuwa mwisho wa reli ni Kigoma hivyo Bingwa ni mmoja tu.
 
Tunaingiza mapumziko tuko mbele kwa goli 1, kipindi cha pili tuongeze mbili za faster tuchukue points zetu 3 safi tukapumzike
 
Kuishangaza dunia kwa mara ya pili maana kuna msimu tulisajiri tu Adrian tukachukua ubingwa.
swala la kusajili sijajua linachukuliwaje, ila timu kama Man City ilikua ya kawaida kabla ya kuanza kufanya usajili wa kishindo, chelsea the same, hata sisi kama sio kuvunja benki kwa vvd, Ab1, fabinho nk tusingeiona EPL miaka 60, kwa hiyo usajili sio impact ya siku moja tuu, na huwezi kutwaa mataji bila kusajili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom