Cc Pinye
Senior Member
- May 31, 2021
- 184
- 226
Wakere wakere[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukumbusho ni muhimu sana View attachment 1806214
Wakere wakere[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukumbusho ni muhimu sana View attachment 1806214
Umeokota laki unaenda kumlingishia aliyezoea kuingiza milioni kila siku [emoji16][emoji16]Aisee unafikiri atashtuka?Ukumbusho ni muhimu sana View attachment 1806214
Nyie kuja kubeba uefa tena labda baadae tena miaka 30 ijayo.
Malizana kwanza na kina Nottingham Forest ndo uje hapa. Sawa?Nyie kuja kubeba uefa tena labda baadae tena miaka 30 ijayo.
Wakati huo sisi Chelsea tutakuwa tunakimbizana na Madirid kwa idadi.
#aminiKwamba.
#CFC
Wewe ndo mpiga ban wa jf siku hizi?Baada ya kula Ban nadhani akili imekukaa sawa
Asee hujaona moto tumeuwasha ..msimu ujao tukutane kwenye hatua yeyote ya uefa tena tuwakamue ..maana usajili tunaofanya msimu ujao mtajutaMalizana kwanza na kina Nottingham Forest ndo uje hapa. Sawa?
[emoji2424]| Carlo Ancelotti:
"Every club has different goals. Real Madrid's goal is to win the #UCL and La Liga. Everton's goal is to win a Merseyside Derby, so I had to leave. "Richarlison was celebrating naked in the changing rooms when we won at Anfield, you would think they won a trophy or something. It was unbelievable!”
[emoji3481]
#rmalive
Huyu mzee kaanza Umorinho sasa.🎙️| Carlo Ancelotti:
"Every club has different goals. Real Madrid's goal is to win the #UCL and La Liga. Everton's goal is to win a Merseyside Derby, so I had to leave. "Richarlison was celebrating naked in the changing rooms when we won at Anfield, you would think they won a trophy or something. It was unbelievable!”
™️
#rmalive
Suso ishu kuu kwake ni defense duties anazidiwa sana ndio hata Ac Milan waliona asepe.Luis Alberto....... brenda alimwondoa huyu pamoja na Suso!
ila benitez alitengeneza timu nzuri sana ya vijana pale klabuni, sema tu roy, king na brenda wakaja kuleta uingereza wao mambo yakaharibika!
Mkuu mkongwe Timig hili la Tsimikas tusiwe wepesi kumtoa kwa sasa kwani kwa huu msimu uliomalizika dogo amekua na maumivu ya mara kwa mara.Msimu umekua mbaya Sana Kwa Liverpool
Yet we finished third
Time to shake up the squad
Get rid of shaqiri, ox, milner, origi, woodburd, Wilson, grujic, sadio/firmino, tsimikas, taki, neco,
Gomez return to fullback,
Introduce 352 systems when playing compact teams to manage the middle and damage their counters
Get some height up front , get one tough tackler in the middle and a versatile.middle plus versatile full.back
World class finisher is a must - we create millions and score 3
Asee hujaona moto tumeuwasha ..msimu ujao tukutane kwenye hatua yeyote ya uefa tena tuwakamue ..maana usajili tunaofanya msimu ujao mtajuta
Nafikiri Barca wanapaswa kukubaliana haeatampata Iniesta Xavi na ile tik tak soccer kwa wachezaji wake wa miaka hii ya karibuni.Manchester United wenyewe wapo mazima kwa Hakan Calhanoglu maana ni busu la malaika dogo anapatikana bure kabisa.
Binafsi naona C10 kama majeruhi yamemkwamisha ubora wake na ukumbuke pale MFs tuna pancha Thiago, Henderson, Chamberlain, Keita hivyo tunahitaji kupata like for like replacement ya Gini in terms of fitness na i guess Hakan, Pellegrini, Nicole hits all the boxes.
YNWA
Mbappe mmoja hutaaminIla duh Mbappe angetua Klopp naona angekua moto balaa yaaani...
Kwanza dirisha lenyewe halijafunguliwa mpaka sasa hivyo kwa maelezo ya Fabrizio ni kwamba Liverpool watanunua wachezaji kadhaa hili dirisha na pia kutakua na departures.
Tuwe na subira.
Traore haha amekua na msimu mbaya sana dogo naamini na bei yake itashuka huyu.
YNWA
Huyu Tsimikas akipewa game time mtaanza kuona new Robbo. Jamaa ni mzuri he is a good crosser.Mkuu mkongwe Timig hili la Tsimikas tusiwe wepesi kumtoa kwa sasa kwani kwa huu msimu uliomalizika dogo amekua na maumivu ya mara kwa mara.
Kingine hata alipokua mzima Klopp alikomaa na Robbo na napo ubora wake ukiwa sio ule wa 2019 2020.
Taki Southampton wameonyesha nia kama yupo sokoni wajurishwe watoe ela.
Wengine naona safari ya kusepa kwingine imefika aisee. Tunahitaji kikosi kipana hatutaki kunahatisha tena na hawa akina Rhys na Billy Koumetio.
Strika naona Patson Daka wanamfuatilia asaidiane na Bobby.
Pale kati target ni wengi sana wanaotajwa De Paul, Houssem nk
YNWA