Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Duh!! huyu Fekir atakuja kujaza hodi ya wagonjwa mkuu.
Mkuu pale kwa attacking MF tumpate mmoja kati ya hawa.

Hakan Calhanoglu kutoka Ac Milan.

Jack Grealish kutoka Midlands

Nicolo Barella kutoka Inter.

Rodrigo De Paul kutoka Udinese.

Pellegrini kutoka Roma

Houssem Aouar kutoka Lyon.


Yaani hapo tukimpata mmoja wapo tutakua vzuriiiiii mno.

Tukikosa hapo naona angalau tuangalie hawa

Dani Olmo kutoka RB Leipzig.

Luiz Alberto kutoka Lazio.

Coutinho kutoka Barcelona

Nabir Fekir kutoka Betis

Ramsey 😁😁😁😁kutoka Old Lady

Neves kutoka Wolverhampton

YNWA
 
Pellegrini yes he is good nimeuona mara kadhaa hata Muriel wa Atalanta yupo vizuri kwa bei za FSG na mishahara wanayotaka kutoa hawa hatushindwani nao tunawamudu under Genius in business Michael Edward tunapata vizuri hawa.
Mtihani pale Roma yupo Mzee wa the Special One na yule ana jambo na sisi.

Labda Pellegrini mwenyewe aamue kuodoka ila dogo ni kifaa haswa.

YNWA
 
Nafikiri kwa ubora wake na free transfer tutapita na huyu Calhanoglu na ubahili wa fsg utashangaa C10 na Calhanoglu ndio wanatua... kisha tunatafuta one ST tunamaliza Transfer.

Firmino apewe his natural no. Tumfaidi.

Na taarifa za ndani zinasema MANE SALAH hawauzwi.
Kuna maximum 11 offloads. Nafikiri hii transfer itatufurahisha ni FSG wampe JK mzigo wa kutosha.
Salah pamoja na mapungufu yake kama mchezaji bado tunamhitaji unless uniambie tufanye swap kumpata Mbappe wao wampate Salah au Mane.

Bobby false 9 has taken its toll uchovu kama wote playing link play sio kazi rahisi for the last 5 seasons. Ni muda muafaka sasa dogo aidha acheze namba 10 yake ama awe squad player huku FSG wakileta kifaa kipya au kama vipi Cholo alete hio ofa yake tuone.

YNWA
 
Baada ya kula Ban nadhani akili imekukaa sawa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
JamiiForums803633169.jpg
 
Mkuu pale kwa attacking MF tumpate mmoja kati ya hawa.

Hakan Calhanoglu kutoka Ac Milan.

Jack Grealish kutoka Midlands

Nicolo Barella kutoka Inter.

Rodrigo De Paul kutoka Udinese.

Pellegrini kutoka Roma

Houssem Aouar kutoka Lyon.


Yaani hapo tukimpata mmoja wapo tutakua vzuriiiiii mno.

Tukikosa hapo naona angalau tuangalie hawa

Dani Olmo kutoka RB Leipzig.

Luiz Alberto kutoka Lazio.

Coutinho kutoka Barcelona

Nabir Fekir kutoka Betis

Ramsey [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kutoka Old Lady

Neves kutoka Wolverhampton

YNWA
1.Aoura au Neves mmoja atatufaa. Ikishindikana kabisa tumrudishe C10

Ni mawazo yangu tu hayo
 
1.Aoura au Neves mmoja atatufaa. Ikishindikana kabisa tumrudishe C10

Ni mawazo yangu tu hayo
Aouar kwa sasa bei ime drop japo boss wa Lyon hua ni ishu kufanya nae mazungumzo ni mjeuri balaa.

Muda utasema ndugu.

Kazi ipo mkononi mwa Edwards.

Pazuri Ligi nyingi zipo hoi kifedha hivyo inawezekana kupata wachezaji safi kwa bei nzuri.

YNWA
 
Why tusisajili both Bissouma na Reuben Neves?
Yves Bissuoma ni upgrade ya Gini. Ni all around MF, anavuruga mipango haswa, ana retain mpira, anafanya ball recovery nk. Kwenye assist au last pass to assist sio mzuri sana lakini kwa umri wake na chini ya German maestro naamini ataiva haswa.

Pia kuna advantage ya kununua wenye uzoefu wa EPl wanaanza kazi chap kama akina Mane na VVD.

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom